little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 557
Ndo maisha ya siku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee usinitanie, mmeachana ana mtoto mmoja leo ana watoto 3, umejuaje kama halijabadilika? . Kama vipi si umpe hela atanunua mwenyewe. Hivi ukute tu mkeo kamnunulia mwanaume mwingine boxer utaelewa?
BADILI TABIA usinisome nusu nusu
Sometimes inategemea na mazingira ya mimba huenda binti kwa kubeba mimba kakosa fursa nyingi na jamaa anajifeel guilt hivyo itambidi afanye kila awezalo kumfariji huyo binti
Hao wengine hata kama sio wake lakini ni mama mmoja na huyo mzazi mwenzake, kwahiyo jamaa anatoa support kwa hao wengine pia ili kuleta usawa na hao wengine wajione sawa na mwenzao vinginevyo makuzi yao wote hata huyo wa kwake mmoja hayatokuwa mazuri kutokana na watoto wa mama mmoja wanakuwa hawalingani katika mfumo wa maisha (kama jamaa lina uwezo na familia yake linahudumia mother house asihuzunike na ndio maana wamama wanaojielewa humwambia huyo mtoto amlete akae kwake ili kile kinachokwenda nje kiletwe ndani ila kwa kutokupenda kulea watoto wa kambo yote hayo hutokea.
Changamoto za kuachana kwa watu ambao hawaoana ni zile zile sema wengine ndo hivyo tena unakuta wameachana huku wakiwa na mtoto wakati hawa wengine wanakuwa hawana mtoto lakini ukichunguza sababu ni zilezile
Ndio alipe ada????
Ingeeleweka kwenye chakula ofcourse wale wote...ada????
Haina shida kama uwezo upo, usikute wao maisha hayajakaa sawa
Ujue muelewe kuna wanaume wana huruma sana, so kumsaidia familia ya ex wako siyo ishu kabisa kama uwezo upo. Ofcourse pia inategemea na mlivyoachana
On a personal level, niliwahi kumsaidia ex wangu sana tu na kwa muda mrefu tu (nadhani 4yrs mfululizo) baada ya kuachana, na bila kupasha kiporo wala kufikiria kupasha kiporo. I just felt so coz mambo yao (aliolewa) yalikuwa bado hayajakaa sawa, so out of huruma tu nikawa namtoa si kidogo. You can imagine ningekuwa nimezaa naye........
Watu tumeumbwa tofauti jamani
Ndo maana nimesema kama hawapashi kiporo hakuna ubaya wo wote
Mmh basi sawa nimekuelewa sista
Ila kama nilivyosema hapo awali, haya mambo ni magumu kote kote, we tend to do things for granted really
Mie nipite bila kusema mengi kwa kuwa nipo na mume ambaye ana mtoto kabla ya kunioa Mimi. Ni hivi Ile usiwaze saaaaana kuhusu hizo "huduma" za "friji" kwa mwenzio wewe realise kwamba hela za mumeo sio zako na ana uhuru wa kutumia anavyopenda! kama vipi tafuta zako tu uzitumie kwa mwanao kwa kuwa hata ukimwambia asipeleke friji atapeleka na asikwambie!
Mbili: usiwaze saaana whether anaendelea na "zaidi ya huduma"! Kwani ufutio huo tuseme akifutia kule unaisha...?! Hahahaha Akaaaa wewe poteza tu make it a non issue, akienda kupeleka vitu sawa yaani poteza atachoka kuchunwa tu ipo siku especially kama anahudumia over! Akiona unamaind ndo atazidisha sifa atakwambia wale ni wanangu! Wewe tena mkumbushe baba naniliu mwezi huu ushapeleka matunzo ya mtoto? Hahahahaha akikwambia ndio wewe chuna siku mbili kisha mwambie mwanetu anahitaji baiskeli achezee hapa ujue anakuwa lonelyyyyy....! Hahahaha si anazo bwanaaa acha ahudumie, as long as unapata share ya mwanao mengine potezea sio hela zako! besides mwanaume akitaka kucheat atacheat tu kama sio na baby mama na mwingine, cha msingi wewe do ur part na ishi happily ukifatilia sana watakunyima furaha hao!
Leo nmejionea ubinafsi, ila hii ni fursa gelofriend imagine ukizaa na hawa wanaume wawili afu ukabahatisha na type hii mwingine kila mtu ukamzalia mtoto moja si unaishi miguu juu ha ha ha ha kila baba akileta friji, zinakua tatu ndani kila baba akileta ada.... Kweli mwanamke kuishi kimasikini umetaka lol :behindsofa::behindsofa:
Naona leo single mothers wapo katika nafasi nzuri, sasa huko kupinga kuoa single mothers kunatokeaga wapi?
Teh my kaka itabidi tuongee kwa herufi kubwa, kumbe ndo una huruma hivi. Mie tena dada ako ndo utanihurumia vizuri mweee
Hahaha yani wewe ni kichwa ujue, hili bonge la fursa. Bahati mbaya wewe limeshakupita. Imagine umepiga totoz 3 baba tofauti afu kila mmoja analipa ada za watoto wote. Huyu kaleta friji, yule flat screen mwingine gari kabisa. Looh raha ilioje
Huruma nyingine ni shida, ukapeleke furaha huko uendako mkeo ndani anasikitika heri uhamie tu huko huko
Mi nina huruma kweli dadaangu wala si utani
To give you more hints: hii ni another factor why siwezi kucheat (ukiacha ile factor mama lakini), coz naona nitajiongezea mzigo bure kwa huruma zangu, nikila mzigo na kukimbia tamuumiza mtima bure daaah huruma sana, not fair at all. Na mnavojitoa sasa daah hadi huruma aiseee. Sitaki dhambi wala laana ya mwanamke kwa kweli, it's much better i stay hivi hivi na mmoja
Hahaha ngumu kumesa eeh. Hizi Vitu sikia tu kwa jirani
Huyu jamaa ana ndoa, ila pia ana mtoto mmoja aliyempata kabla hajaoa sijui nini kilitokea hadi hakumuoa huyo mama mtoto ila kwa umbea naweza kufatilia teh, mama mtoto alishaendelea na maisha yake akazaa watoto wengine wawili....jamaa anahudumia mwanae ila pia anahudumia hao watoto wengine analipa hadi ada....sio vibaya kusaidia kama kuna uwezo ila kuna haja gani ya kufanya hivo ilhali ana familia yake tayari kwanini yule asibaki tu mzazi mwenzie ahudumie tu mwanae full stop. Mkewe hayupo comfortable na hizo huduma ila pia naona hawezi kuuliza anakufa zake kijerumani tai shingoni.... Ila hata mi sioni sababu ya jamaa kubeba zigo la majukumu kama mme vile sijui nipo sawa au nna roho mbaya lol
Huyu jamaa mwingine ni schoolmate, kaoa muda si mrefu na hapa juzi juzi kapata mtoto, nikampa hongea kwa kuwa baba, akajibu anashukuru ila amekua baba kwa mara ya pili nikaguna Kimoyo moyo nikamuuliza mtoto mwingine,story zikaendelelea.....tukahamia kuwa hali ngumu hela ya manati, akasema hana kitu katoka kumnunulia mzazi mwenzie friji,nkamuuliza wife anajua akasema hapana mmmh nkabaki kutoa macho tu, hivi huo uzazi wenza hauna mipaka ya huduma? Hivi si hadi bra unaeza peleka? Mi naona kwa huduma hizo kifuatacho itv ni hiki
View attachment 307162
Mtazamo tu pendaneni mwayego......
💃🏻 💃🏻 💃🏻 💃🏻
Ofcoure ni ngumu kumesa sista, hata mimi naongea tu hapa lakini honestly nikisikia mamsapu anafanya hivyo naumia balaaa
I mean, najaribu kuwa open tu kuwa some people are happy to provide all those kind of stuff, with no string attached, ni kwamba tu ni ex wake, and if you recall those great memories unamuonea huruma baaas!! sasa ukiongezea na kuzaa naye ndo kabisaaaaaa huruma inaongezeka, na sense of responsibility inaongezeka vile vile
hahahahaha ukigusa maslahi yao lazima wawe wapoleGelofriend kuna thread moja waliulizwa kuhusu kuoa mwanamke mwenye mtoto, walimiminika hao utadhani wamemwagiwa mayai wengi wakidai hawawezi kuhudumia damu ya mwanaume mwingine, ooh hawawezi kuishi na familia ya mtu(mtoto wa mtu) .....bila shaka leo upepo wao utabadilika mioyo yao itakua milaini kama viazi vitamu vilivoungwa na karanga