Ndo maana dawa mtu akiwa na mtoto kabla ya kuoa au kuolewa ni kukubali matokeo tu ya kulea mtoto wa mumeo / mkeo, wanawake waelewa wanakubali matokeo na mtoto anakaa nae kama wake ili azuie mianya la jamaa kwenda ku-provide mtoto. Wanaume ni watu wa kutoa kama wana hela si kwa mzazi mwenzake tu hata kwa watu wengine endapo anayo hivyo hakuna shida hapo kama unaona kwako kuzuri alafu mtoto wako anakaa pabaya
Weeeeeee my kaka wewe, nina aunt yangu mmoja ameolewa na andunje. Yule sio mwanaume,; ni mbishi, mgomvi, mjuaji, anapenda sifa ana dharau yani anajua kujitutumua yule pyeee. While aunt yangu anajishusha jamani kama sio mnyaki vile, yani kila mtu ana mpaka sifa maana sio kwa ule ukorofi. Yani yule aunt yangu kila siku ananiambia "mwanangu watu wafupi hapana". Mtu wa hivyo unambeba vipi unafikiri?
Watu wafupi wengi wana matatizo, wote wanaume kwa wanawake
Weeeeeee my kaka wewe, nina aunt yangu mmoja ameolewa na andunje. Yule sio mwanaume,; ni mbishi, mgomvi, mjuaji, anapenda sifa ana dharau yani anajua kujitutumua yule pyeee. While aunt yangu anajishusha jamani kama sio mnyaki vile, yani kila mtu ana mpaka sifa maana sio kwa ule ukorofi. Yani yule aunt yangu kila siku ananiambia "mwanangu watu wafupi hapana". Mtu wa hivyo unambeba vipi unafikiri?
Duh yaani kuanzia juzi humu sina raha. Mlianza vitambi vyetu,sasa ufupi wetu!
Hiki ndo nilichokuwa najaribu kuelewa, naona wachache walinielewa, the rest hawaelewi somo
Eeh wanawake wafupi naona sio sana kama wanaume wafupi.Watu wafupi wengi wana matatizo, wote wanaume kwa wanawake
Teh mpendwa Njoo nikukatie kaurefu kidogo. Mgutambi wako kaa nao tu mpendwa, labda baby anaenjoy kuushika shikaDuh yaani kuanzia juzi humu sina raha. Mlianza vitambi vyetu,sasa ufupi wetu!
Eeh My kaka kwani hapo nimesimulia. Naona tu uvivu kuandika gazeti hapa. Sio gubu lile + umalaya. Yani ningekuwa mtu wa negativity, ile ndoa ingenidiscourage kuolewa milele. Imagine hata tukienda kwa watumishi kuombewa; karibu wote wanamwambia " dada sioni kama una ndoa, kwa sababu naona tu makelele kwenye nyumba yenu". Ntasimulia tu Vizuri siku mojaKhaaaa huyo ni too much aiseee, aunt yako kazi nayo duuu pole zake!!!
Weee usinitanie, mmeachana ana mtoto mmoja leo ana watoto 3, umejuaje kama halijabadilika? . Kama vipi si umpe hela atanunua mwenyewe. Hivi ukute tu mkeo kamnunulia mwanaume mwingine boxer utaelewa?
Tena miezi hilo somo ndo sitaki hata kulielewa kwakweli sitaki teh
Watu wafupi wengi wana matatizo, wote wanaume kwa wanawake
Hapo ndo huwa siwaelewi wanaume kabisa eti unamnunulia bra hapo anajifanya kutoa msaada lakini na kiporo akipasha as usual
Teh wanaleta utani hawa, wewe nyonyo la ex wako linakuhusu?
Hahaaaa eti ka anduje
Sasa kama unafahamu naturally hawajiamini shida iko wapi sasa? ndo udhaifu wao huo inabidi kuukubali tu hakuna namna.
Halafu ujue 70% ya confidence ya mume hujengwa na mke, so itategemea utamaccept vipi kuimarisha confidence yake
Hahaaaa ni ukweli mtupu wabishi wasumbufu hawarlewi ni shida tupu
Yani hata Mimi ninge mu mind sana had nyonyo ili iweje uchumi wenyewe magumashi kujifanya billgate ndo nini?
Aiseee kumbe ndivyo ilivyo, mleta mada asante nimepata jibu leo