Hivi hakunaga mipaka eeeh?

Hivi hakunaga mipaka eeeh?

Ndo maana dawa mtu akiwa na mtoto kabla ya kuoa au kuolewa ni kukubali matokeo tu ya kulea mtoto wa mumeo / mkeo, wanawake waelewa wanakubali matokeo na mtoto anakaa nae kama wake ili azuie mianya la jamaa kwenda ku-provide mtoto. Wanaume ni watu wa kutoa kama wana hela si kwa mzazi mwenzake tu hata kwa watu wengine endapo anayo hivyo hakuna shida hapo kama unaona kwako kuzuri alafu mtoto wako anakaa pabaya

Hiki ndo nilichokuwa najaribu kuelewa, naona wachache walinielewa, the rest hawaelewi somo
 
Weeeeeee my kaka wewe, nina aunt yangu mmoja ameolewa na andunje. Yule sio mwanaume,; ni mbishi, mgomvi, mjuaji, anapenda sifa ana dharau yani anajua kujitutumua yule pyeee. While aunt yangu anajishusha jamani kama sio mnyaki vile, yani kila mtu ana mpaka sifa maana sio kwa ule ukorofi. Yani yule aunt yangu kila siku ananiambia "mwanangu watu wafupi hapana". Mtu wa hivyo unambeba vipi unafikiri?

Watu wafupi wengi wana matatizo, wote wanaume kwa wanawake

Duh yaani kuanzia juzi humu sina raha. Mlianza vitambi vyetu,sasa ufupi wetu!
 
Khaaaa huyo ni too much aiseee, aunt yako kazi nayo duuu pole zake!!!
 
Duh yaani kuanzia juzi humu sina raha. Mlianza vitambi vyetu,sasa ufupi wetu!

Kama ambavyo nanyi mnakuaga mara mawigi, mara single mothers, mara above 30.....usijali ni upepo tu utapita
 
Watu wafupi wengi wana matatizo, wote wanaume kwa wanawake
Eeh wanawake wafupi naona sio sana kama wanaume wafupi.

Duh yaani kuanzia juzi humu sina raha. Mlianza vitambi vyetu,sasa ufupi wetu!
Teh mpendwa Njoo nikukatie kaurefu kidogo. Mgutambi wako kaa nao tu mpendwa, labda baby anaenjoy kuushika shika

Khaaaa huyo ni too much aiseee, aunt yako kazi nayo duuu pole zake!!!
Eeh My kaka kwani hapo nimesimulia. Naona tu uvivu kuandika gazeti hapa. Sio gubu lile + umalaya. Yani ningekuwa mtu wa negativity, ile ndoa ingenidiscourage kuolewa milele. Imagine hata tukienda kwa watumishi kuombewa; karibu wote wanamwambia " dada sioni kama una ndoa, kwa sababu naona tu makelele kwenye nyumba yenu". Ntasimulia tu Vizuri siku moja
 
Weee usinitanie, mmeachana ana mtoto mmoja leo ana watoto 3, umejuaje kama halijabadilika? . Kama vipi si umpe hela atanunua mwenyewe. Hivi ukute tu mkeo kamnunulia mwanaume mwingine boxer utaelewa?

Hapo ndo huwa siwaelewi wanaume kabisa eti unamnunulia bra hapo anajifanya kutoa msaada lakini na kiporo akipasha as usual
 
Heheheh mito bana

My wife wakomakiamua kumsaidia ex flat screen utachukuliaje???

Naona wanaume wanavojitetea kwenye uu Uzi kisa kuhalalisha tu mambo yao. Kibongo hii mwanaume hatoi support bila kutarajia favour,kwanza kwa maisha gani waliyo nayo had Ku handle watoto wa wanaume wenzao. Hapo ukute kwa mke halali mchungu ila kutoa hela ya kulea watoto wa wenziwe wako free
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa eti ka anduje
Sasa kama unafahamu naturally hawajiamini shida iko wapi sasa? ndo udhaifu wao huo inabidi kuukubali tu hakuna namna.

Halafu ujue 70% ya confidence ya mume hujengwa na mke, so itategemea utamaccept vipi kuimarisha confidence yake

Maandunje ni janga aisee in nature hata umfanyeje confidence haiongezi mana wanapenda kufanya vtu ili nao waonekane.
 
mambo ya kawaida tu hayo,katoto ukikaa nako hauoni katakupa machungu zaidi,ila kakiku kakubwa kwenye 18 hv kwenda mbele, utaanza kuwa mpole,kwani nawe utakuwa umri unasogea nguvu ya wivu inapunguaa
 
Shindano la mbio kuwahi kufika ndioa ushindi ila hili la kuunganisha viungo vya uzazi bila hadhari na kuongeza uzao ni kinyume chake.... Kulea ex na mtoto au watoto = mgegedo.... tena hawa hawatong'ozani kwani walishahemka hadi kutoa kiumbe ni kiasi cha kuambiana hapa mazingira yanaruhusu?????????????
 
Back
Top Bottom