mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Ndo maana dawa mtu akiwa na mtoto kabla ya kuoa au kuolewa ni kukubali matokeo tu ya kulea mtoto wa mumeo / mkeo, wanawake waelewa wanakubali matokeo na mtoto anakaa nae kama wake ili azuie mianya la jamaa kwenda ku-provide mtoto. Wanaume ni watu wa kutoa kama wana hela si kwa mzazi mwenzake tu hata kwa watu wengine endapo anayo hivyo hakuna shida hapo kama unaona kwako kuzuri alafu mtoto wako anakaa pabaya
Hiki ndo nilichokuwa najaribu kuelewa, naona wachache walinielewa, the rest hawaelewi somo