kimara Kimara
Member
- Jul 7, 2024
- 80
- 173
Mambo sio poa, unaweza ukahisi umerogwa, kumbe ni upepo tuHii hali ni pote hata huku njaa ni kali,ni upepo tu ila itakaa sawa
Wacha tuone kaka itakuajePesa zilielekezwa July shule kiongozi, tusubiri September
Tununue tuna hela?Hivi Wadau haka kaupepo kwenye biashara ni mimi tu ama na kwa Wengine, Hali imekua ngumu sana wateja hawaonekani.
Mwezi huu tangu uanze hali imekua tofauti sana kupita Maelezo, wateja wanaulizia tu hawanunui,
Share na mimi mawazo yako.
YAh sure. Hiv karibun mpaka ikabid nimuulize Mungu katika maombi yangu kila alfajiri kwamba "what is wrong, na wapi nakosea, na nini labda ambacho nashindwa kuona sawa sawa au labda kuna namna sikusikii somewhere. Mbona sio shwari na kwa namna yangu nafanya bidii na kutenda kwa usahihi nikizingatia yote ya msingi?"KAMA UPO TANZANIA SIO LA KUULIZA YESU ATUSAIDIE NA KUTUPA NGUVU
Hiyo inaitwa mjasiriamali na yanayomzunguka, (the entrepreneur and his her environment, mimi kuna andiko naandika linahusu yasiyotarajiwa, (uncertainty),, hili linasababishwa na jamii kunyamaza yaani kutokuhoji kwa fikra chanya. Fikiria kuhusu jamii ambayo hupokea chochote kile hata kama hakina tija kwao, jamii inatumia jicho lisilo ona hayo yanayo itwa mazingira wezeshi lakini hayawezeshi, kwakifupi tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kutokuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji utaambiwa kama umekua uondoke, mfano hai kuna watu walihoji kuhusu tozo waliambiwa waende burundi majibu kama hayo yanasaidia jamii kufikiri nje ya sanduku . Swali fikirishi je serikali za kiafrika zina mpango wowote wa kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja. Ushauri kwasasa pambambana na hali yako hadi hapo jamii mafuvu yao yatakapoanza kufanya kazi kwa fikra chanya kwasasa jamiiHivi Wadau haka kaupepo kwenye biashara ni mimi tu ama na kwa Wengine, Hali imekuwa ngumu sana wateja hawaonekani.
Mwezi huu tangu uanze hali imekuwa tofauti sana kupita Maelezo, wateja wanaulizia tu hawanunui,
Share na mimi mawazo yako.
Kuna wanao kula na kuvimbiwa na furaha tele kwakinyakyusa tunasema to afford life yaani wewe unaagiza chochote bila hata kuuliza bei yaani huwazi kuhusu kesho utakula niniMaisha magumu n kwako tu mzee wengine yamenyooka
Hii hali ndiyo safi mafuvu yanafanya kazi binadamu akipata changamoto ndiyo anaamsha ubongo yaani huzitumia kumbukumbu alizo zihifadhi kutatua matatizo na kuona vizuri huko mbele, japokuwa binadamu huyohuyo ni mvivu wa kufikiri akisha tatua tatizo matako hulia mbwata, yaani hana mundelezo kumbe akili zile tunazoziitumia tukipata tatizo tungelizitumia kila siku tungelikuwa mbali sanaYAh sure. Hiv karibun mpaka ikabid nimuulize Mungu katika maombi yangu kila alfajiri kwamba "what is wrong, na wapi nakosea, na nini labda ambacho nashindwa kuona sawa sawa au labda kuna namna sikusikii somewhere. Mbona sio shwari na kwa namna yangu nafanya bidii na kutenda kwa usahihi nikizingatia yote ya msingi?"