Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Ni kwel usemayo kaka 😂Hii hali ndiyo safi mafuvu yanafanya kazi binadamu akipata changamoto ndiyo anaamsha ubongo yaani huzitumia kumbukumbu alizo zihifadhi kutatua matatizo na kuona vizuri huko mbele, japokuwa binadamu huyohuyo ni mvivu wa kufikiri akisha tatua tatizo matako hulia mbwata, yaani hana mundelezo kumbe akili zile tunazoziitumia tukipata tatizo tungelizitumia kila siku tungelikuwa mbali sana