Hivi hali imekuwa ngumu kwangu tu kwenye biashara ama ni pote

Hivi hali imekuwa ngumu kwangu tu kwenye biashara ama ni pote

Hivi Wadau haka kaupepo kwenye biashara ni mimi tu ama na kwa Wengine, Hali imekuwa ngumu sana wateja hawaonekani.

Mwezi huu tangu uanze hali imekuwa tofauti sana kupita Maelezo, wateja wanaulizia tu hawanunui,
Share na mimi mawazo yako.
Kwnz km ndiyo unaiona leo pole umechelewa kuja kundini cha zaidi saiz we karibu si tushazoea.
 
Akaunti za serikali zilikuwa bado zimefungwa baada ya bajeti kuu kwahyo pesa za miradi ilikuwa haijaanza kushuka kwenye halmashauri kwahyo ata wakandarasi na wazabuni walikuwa hawajalipwa.
Na hii kiuchumi ni failure , nchi ambayo big spender na driver WA uchumi ni serikali ,hiyo nchi ni taifa mfu .
Private sector inabidi iwe komavu na yenye kuweza kuhimili kufanya uzalishaji na expansion ya uchumi ndani ya nchi .
 
Kama private sectors na enterprises zake ziko dumavu ,that's means huo uchumi ni uchumi mfu na usiomgusa mwananchi .
Watu wengi wamejiajiri katika small ,middle na large private businesses nchi hii ,sasa kama incomes huko zimesinyaa that's a red flag ya trouble katika uchumi wa nchi .
 
Mpaka bilionea wa dunia Warren Buffet kauza hisa zake, masoko ya hisa ya dunia yameanguka kuanzia Japan mpaka Marekani.
Mkuu Kiranga au ndio mwanzo wa dhiki kuu yenyewe nini ?
Unajua huwa namfuatilia sana yule mzee Buffet ,ni moja kati ya watu ambao hawajawahi kufeli kwenye maamuzi yao ,na maamuzi yao huwa ni signal ya hali ya uchumi .
 
Hiyo inaitwa mjasiriamali na yanayomzunguka, (the entrepreneur and his her environment, mimi kuna andiko naandika linahusu yasiyotarajiwa, (uncertainty),, hili linasababishwa na jamii kunyamaza yaani kutokuhoji kwa fikra chanya. Fikiria kuhusu jamii ambayo hupokea chochote kile hata kama hakina tija kwao, jamii inatumia jicho lisilo ona hayo yanayo itwa mazingira wezeshi lakini hayawezeshi, kwakifupi tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kutokuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji utaambiwa kama umekua uondoke, mfano hai kuna watu walihoji kuhusu tozo waliambia waende burundi majibu kama hayo haya yanasaidia kufikiri nje ya sabduku . Swali fikirishi je serikali za kiafrika zina mpango wowote wa kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja. Ushauri kwasasa pambambana na hali yako hadi hapo jamii mafuvu yao yatakapoanza kufanya kazi kwa fikra chanya kwasasa jamii
kuna serikali inayoinua mtu mmoja mmoja naomba msaada wako kuniorodhoshea
 
kuna serikali inayoinua mtu mmoja mmoja naomba msaada wako kuniorodhoshea
Soma na kuelewa, nimeuliza je serikali zetu za kiafrika zimejipango, kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja,(National economy and social development strategies of prevailing governments)
 
Back
Top Bottom