Hivi hali imekuwa ngumu kwangu tu kwenye biashara ama ni pote

Hivi hali imekuwa ngumu kwangu tu kwenye biashara ama ni pote

Kama kuna kaukweli vile.
Kuna jamaa uwa nampelekea vitu vya hard ware.juzi nampelekea ana niambia hela hana nije kesho.
Dah nilishangaa sana.
Sijawahi kupeleka kitu akaniambia hela hana
Marejesho siyo poa hata kidogo, na hasa kwenye kipindi hiki chenye mzunguko mdogo wa hela mtaani.
 
Kama kuna kaukweli vile.
Kuna jamaa uwa nampelekea vitu vya hard ware.juzi nampelekea ana niambia hela hana nije kesho.
Dah nilishangaa sana.
Sijawahi kupeleka kitu akaniambia hela hana
Unauza vitu gani na unapatikana wapi, nafanya biashara ya hardware pia, nipo kibaha pwani
 
Ni hali ya mda tu, nayo itapita. Binafsi nimeiona kuanzia jumatatu hii imekuwa ngumu kweli.
 
Hatari sana, huko majuu napo hisa zimeanguka vibaya kama maembe dodo watu wanasaga meno vibaya...hayo ni matokeo ya mjumuisho wa vitu mbalimbali, just imagine na huku TZ tulivyo wazembe ni mwendo wa maumivu tena hasa ikiwa biashara yako ina players wengi huko ulipo basi Hali itakuwa mbaya, Kuna biashara hazina watu wengi hivyo kidogo Kuna afadhali.
 
Ni hatarii mpka ninaeuza chakula hariii mbaya mno mpka najiuliza watu wanashinda na njaaa au vp maana sielewiii wiki sasa mchele hautembei
😊😊Et wanashindaa njaa.kuangalia mwez uliopita chakula kilikuwa kinatoka?
 
Mwez wa 7 hela nyingi imeenda kwenye ada na pia serikali bado aijaingiza hela kwenye mirad yake.
 
Unauza nini mkuu, tangaza hapa unaweza kupata mteja
 
Back
Top Bottom