Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Ni kwel usemayo kaka 😂Hii hali ndiyo safi mafuvu yanafanya kazi binadamu akipata changamoto ndiyo anaamsha ubongo yaani huzitumia kumbukumbu alizo zihifadhi kutatua matatizo na kuona vizuri huko mbele, japokuwa binadamu huyohuyo ni mvivu wa kufikiri akisha tatua tatizo matako hulia mbwata, yaani hana mundelezo kumbe akili zile tunazoziitumia tukipata tatizo tungelizitumia kila siku tungelikuwa mbali sana
Mkuu kwasasa hata kujipikia home nimeacha kudadeki nikitaka kula msosi super lazima nitumie 20 per day.Hivi ni mimi tu au hadi nyie? Nikichenchi elfu 10 inaisha yote hata nikitoa Tsh 100
Gharama za maisha zimepanda sana ila hakuna namna lazima yaendelee.Mkuu kwasasa hata kujipikia home nimeacha kudadeki nikitaka kula msosi super lazima nitumie 20 per day.
Noma sana boss,,yaani nimepiga mahesabu najikuta kwa mwezi matumizi yangu.Gharama za maisha zimepanda sana ila hakuna namna lazima yaendelee.
Nunua usafiri kuepuka hizo gharama, ubaya wa maisha kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio gharama zinazidi badala ya kupungua. Na hapo usiombe uugue au uuguze muda mrefu.Noma sana boss,,yaani nimepiga mahesabu najikuta kwa mwezi matumizi yangu.
Bando = 50k kwa mwezi
Kodi = 100k kwa mwezi
Umeme= 5k kwa mwezi
Maji bure
Chakula= 200 -300 k kwa mwezi
Nauli = 150k-200k kwa mwezi hapa nimejumlisha daladala na boda boda kwenda na kurudi kazi na mishe zangu zingine.
Matumizi ya Home kwa mama = 13k per day
Matumizi madogo madogo ya binafsi =50-100k kwa mwezi.
Tangu August ianze nimechukua hatua ya kupunguza bando na chakula now nagusa mlo mmoja tu kwa siku 4 na miwili kwa siku 3. Pia nafanya utaratibu kupunguza nauli nafikiria sana ninunue pikipiki itasave pakubwa sana.
Najibana kupita maelezo.
Yaani hatari sana...juzi kati kuna jamaa aliniachia boda yake alisafiri niliweka mafuta ya elfu 5 siku 3 nilifanya mishe hapo ndo nikaona itarahisisha sana mambo yangu.Nunua usafiri kuepuka hizo gharama, ubaya wa maisha kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio gharama zinazidi badala ya kupungua. Na hapo usiombe uugue au uuguze muda mrefu.
Hapo bora utafute tu yakwako ila uwe makini sana barabarani.Yaani hatari sana...juzi kati kuna jamaa aliniachia boda yake alisafiri niliweka mafuta ya elfu 5 siku 3 nilifanya mishe hapo ndo nikaona itarahisisha sana mambo yangu.
Kinachoniwazishia ni hiko aisee.Hapo bora utafute tu yakwako ila uwe makini sana barabarani.
Biashara gani hiyoTangu February hadi leooooo sijapata mteja tofaout na miaka 2 nyuma kipind naanza
Chakula range yake ni kubwa, 200k to 300k ni range kubwa inatakiwa ujue ni 250k to 300k au iwe fixed. Hakikisha una friji hapo unanunua mboga za pamoja za wiki nzima unaweka. Unga, mchele, vitunguu, mafuta unanunua hata vya wiki tatu au nne.Noma sana boss,,yaani nimepiga mahesabu najikuta kwa mwezi matumizi yangu.
Bando = 50k kwa mwezi
Kodi = 100k kwa mwezi
Umeme= 5k kwa mwezi
Maji bure
Chakula= 200 -300 k kwa mwezi
Nauli = 150k-200k kwa mwezi hapa nimejumlisha daladala na boda boda kwenda na kurudi kazi na mishe zangu zingine.
Matumizi ya Home kwa mama = 13k per day
Matumizi madogo madogo ya binafsi =50-100k kwa mwezi.
Tangu August ianze nimechukua hatua ya kupunguza bando na chakula now nagusa mlo mmoja tu kwa siku 4 na miwili kwa siku 3. Pia nafanya utaratibu kupunguza nauli nafikiria sana ninunue pikipiki itasave pakubwa sana.
Najibana kupita maelezo.
Inanyesha kote KakaHivi Wadau haka kaupepo kwenye biashara ni mimi tu ama na kwa Wengine, Hali imekuwa ngumu sana wateja hawaonekani.
Mwezi huu tangu uanze hali imekuwa tofauti sana kupita Maelezo, wateja wanaulizia tu hawanunui,
Share na mimi mawazo yako.
Mkuu nashukuru kwa mchango wako.Chakula range yake ni kubwa, 200k to 300k ni range kubwa inatakiwa ujue ni 250k to 300k au iwe fixed. Hakikisha una friji hapo unanunua mboga za pamoja za wiki nzima unaweka. Unga, mchele, vitunguu, mafuta unanunua hata vya wiki tatu au nne.
Umeme wako unalipa kidogo.
Nauli za bodaboda zinaongeza bajeti ya usafiri. Ama ishi karibu na kazini, ama nunua pikipiki ila isiwe zile jamii ya kufanyia bodaboda.