Hivi hali imekuwa ngumu kwangu tu kwenye biashara ama ni pote

Hivi Wadau haka kaupepo kwenye biashara ni mimi tu ama na kwa Wengine, Hali imekuwa ngumu sana wateja hawaonekani.

Mwezi huu tangu uanze hali imekuwa tofauti sana kupita Maelezo, wateja wanaulizia tu hawanunui,
Share na mimi mawazo yako.
Kwnz km ndiyo unaiona leo pole umechelewa kuja kundini cha zaidi saiz we karibu si tushazoea.
 
Akaunti za serikali zilikuwa bado zimefungwa baada ya bajeti kuu kwahyo pesa za miradi ilikuwa haijaanza kushuka kwenye halmashauri kwahyo ata wakandarasi na wazabuni walikuwa hawajalipwa.
Na hii kiuchumi ni failure , nchi ambayo big spender na driver WA uchumi ni serikali ,hiyo nchi ni taifa mfu .
Private sector inabidi iwe komavu na yenye kuweza kuhimili kufanya uzalishaji na expansion ya uchumi ndani ya nchi .
 
Kama private sectors na enterprises zake ziko dumavu ,that's means huo uchumi ni uchumi mfu na usiomgusa mwananchi .
Watu wengi wamejiajiri katika small ,middle na large private businesses nchi hii ,sasa kama incomes huko zimesinyaa that's a red flag ya trouble katika uchumi wa nchi .
 
Mpaka bilionea wa dunia Warren Buffet kauza hisa zake, masoko ya hisa ya dunia yameanguka kuanzia Japan mpaka Marekani.
Mkuu Kiranga au ndio mwanzo wa dhiki kuu yenyewe nini ?
Unajua huwa namfuatilia sana yule mzee Buffet ,ni moja kati ya watu ambao hawajawahi kufeli kwenye maamuzi yao ,na maamuzi yao huwa ni signal ya hali ya uchumi .
 
kuna serikali inayoinua mtu mmoja mmoja naomba msaada wako kuniorodhoshea
 
kuna serikali inayoinua mtu mmoja mmoja naomba msaada wako kuniorodhoshea
Soma na kuelewa, nimeuliza je serikali zetu za kiafrika zimejipango, kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja,(National economy and social development strategies of prevailing governments)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…