Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

Nina uhakika uchaguzi hautafanyika na ukifanyika basi mizinga 21 itapigwa ya kumuapisha mtu na ndani ya masaa kadhaa kwenye kadamnasi mtashuhidia Mara ya kwanza inatokea jambo ambalo lite weka historia

Cha msingi mjue hakutakuwa na cha Makamu kushika hatamu naye atakuwa miongoni mwa wanaotakiwa kuchimbiwa futi sita

Mengine tuyaandike bila uwazi sana kwakuwa what is coming is very very important for the sake of the nation!
TUMECHOKAAAAAA 😭😭😭😭

Britanicca
Mkuu Burita, britanicca ,unless kama haya maneno yako ni unabii, lakini naomba nikuhakikishie, uchaguzi mkuu upo, utafanyika, hakuna maandamano yoyote, Rais Samia ataapishwa kwa mitano tena na atapokelewa kijiti na Nchimbi
Thread 'Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA' Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

Thread 'Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!' Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!

Thread 'Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige' Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige

Thread 'Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?' Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

Nakufungulia na maktaba yangu yote ya uchaguzi kuwa upo!

P
 
Wameshindwa kusoma alama za nyakati.
Itakuwa kama zile tawala za zaman kule Roman empire, zote zilianguka from within.

Kama mna nafasi ya kuibadilisha Tanzania kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vijazo, basi maombi na vilio vya watanzania vitaenda kuwa baraka kwenu na vizazi vyenu vijazo.

Moyo wangu ushapondeka na nimetoa machoz ya kutosha sana juu ya uyu bwana, japo hanifaham. Sina hamu tena hata kupitia mitandao ya insta. I feel broken.
Once again, I regret declining a very attractive offer from JWTZ, I could have been in a very high position to do something at this very moment.

May God be with you britanicca and everyone around you who try to make a change.😭😭😭😭😭😭
 
bila shaka anawatuma wafanye haya.
Ndo maana hatuwezi kumuona akikemea.
Kipindi hichi Cha kampeni kuteka watu ni KUMCHAFUA.japo wananchi watakaa kimya ila kwenye mioyo yao wanaumia.
Nimemsikia jamaa mmoja akisema Kwa masikitiko "MUNGU AMSAIDIE"huyu mtu Hana Cha kumsaidia zaidi ya kumuombea Dua pole pole.
 
Mkuu Burita, britanicca ,unless kama haya maneno yako ni unabii, lakini naomba nikuhakikishie, uchaguzi mkuu upo, utafanyika, hakuna maandamano yoyote, Rais Samia ataapishwa kwa mitano tena na atapokelewa kijiti na Nchimbi
Thread 'Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA' Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

Thread 'Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!' Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!

Thread 'Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige' Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige

Thread 'Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?' Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

Nakufungulia na maktaba yangu yote ya uchaguzi kuwa upo!

P
Hili nalo ka' senge
 
Back
Top Bottom