Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

Polis wakishamaliza kukumaliza au kukuweka kwenye target alafu wakasema wanakutafuta ndo imeisha hiyo!

Tarehe 12 ikipita tu bila kusema ndo wanaye hatutakuwa na haja ya kuhangaika naye Bali tutatakiwa kuhangaika na mifumo ambayo inasababisha haya! Kuanza na Mafwele! Hilo Liwe wazi

Same scenario! saa nane! Same scenario Lajwabe, same scenario Mdude, and I warned Huyu bwana Tena sana nilimwambia toka hapo na kuwa makini zaidi,

Kuna muda nilikiwa nalaumu watu wanakuwa magaidi au wahasi sasa inanipa mwanga kwamba kwanini watu udai haki kwa upanga!

Kwanini watu uchoma ikulu, kwanini huchoma Bunge, kwanini watu hulipua maraisi kwanini watu huua wanafamilia wa viongozi, ni kwasababu ya haya!

Nina uhakika uchaguzi hautafanyika na ukifanyika basi mizinga 21 itapigwa ya kumuapisha mtu na ndani ya masaa kadhaa kwenye kadamnasi mtashuhidia Mara ya kwanza inatokea jambo ambalo lite weka historia.

Cha msingi mjue hakutakuwa na cha Makamu kushika hatamu naye atakuwa miongoni mwa wanaotakiwa kuchimbiwa futi sita

Mengine tuyaandike bila uwazi sana kwakuwa what is coming is very very important for the sake of the nation!
TUMECHOKAAAAAA [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Britanicca
Huenda umeandika ukiwa na hasira sana zilizochanganyika na uchungu mkubwa kama ambavyo watanzania wengi wapenda haki wanavuja damu mioyoni mwao kwa haya yanayoendelea. Hii ni kawaida kwa binadamu yoyote anayejali

Hata hivyo, kwa jinsi watu wanavyokuamini humu JF naogopa sana kusema pengine hii itakuwa moja ya post yako itakayotumika "kukubananga"(in Polepole's voice - Mungu ampiganie sana huko aliko) kwa haya uliyoandika. HAYA NI MAMBO MAZITO MNO kutokea kwa nchi yetu! Japo ni UKWELI KABISA WENGI TUMECHOKA NA HATUPENDI HAYA MASENEMA YANAYOENDELEA na ni UKWELI KABISA KABISA kuna watu tukisikia IZIRAELI KAFANYA YAKE, WENYE BAA, WENYE GROCERY, WENYE MIZIKI HAWATAAMINI MACHO NA MASIKIO YAO....Watajiuliza ni ipi kati ya parapanda na Fiesta
 
Uchaguzi utafanyika kiongozi hili halina tena ubishi lakini kiongozi wao mshindi ni either atakufa au kupinduliwa anayepinga aseme hapa ikibidi ni bet uhai wangu kama moja lisipotokea
Mkuu punguza jazba, naelewa unavyojiskia lkn nakukumbusha hii ni bongo...mitaani huko mijadala ni kocha mpya, nchi ya wajinga hii mkuu..na hata watoa roho za watu wanajua ujuha wa wabongo.
 
Huna cha kufanya na hautafanikiwa kwa lolote lile. Mama ataapishwa na ataongoza Taifa letu kwa amani na utulivu mkubwa kabisa mpaka 2030.
Ukute mama yako mzazi anang'atwa na kunguni kwenye vilago vilivyochoka huko kijijini na anakuombea usiku na mchana ufanikiwe lakini wewe uko busy kuwasifu na kuwapamba wazazi wa wengine na kutaka kujifungamanisha nao wakati hata hawakujui
 
Leo ndo nimeelewa ile kauli yao ya sheria msumeno, ilikuwa na maana ya kufyeka wakosoaji na wazalendo wa kweli ndani ya Taifa, kisha wakatubambikia maneno matamu kwamba Tanzania ni kisiwa cha amani, cha ajabu hakuna amani zaidi ya umwagaji damu.
 
Nina uhakika uchaguzi hautafanyika na ukifanyika basi mizinga 21 itapigwa ya kumuapisha mtu na ndani ya masaa kadhaa kwenye kadamnasi mtashuhidia Mara ya kwanza inatokea jambo ambalo lite weka historia🥺🥺🥺😫🤔
Bro wangu Mshana Jr .
Uchaguzi utafanyika . Serikali ya Samia itapita kwa kura 98%+ . Na hakuna vurug7 itafanyika.

Mark my words.
Tz weng sisi ni nyumbu.

Hasira zitapanda pale tu pale hawa waliombele wakiungana na kuwa kitu kimoja na wakamatwe kwa pamoja. Na ndio hasira zetu zitaamka.

Ila hizi teka teka za mtu mmoja mmoja ziko miaka na miaka . Toja enzi za Mkapa.
Na hakuna kitu tumefanya kwa umoja.
 
Polis wakishamaliza kukumaliza au kukuweka kwenye target alafu wakasema wanakutafuta ndo imeisha hiyo!

Tarehe 12 ikipita tu bila kusema ndo wanaye hatutakuwa na haja ya kuhangaika naye Bali tutatakiwa kuhangaika na mifumo ambayo inasababisha haya! Kuanza na Mafwele! Hilo Liwe wazi

Same scenario! saa nane! Same scenario Lajwabe, same scenario Mdude, and I warned Huyu bwana Tena sana nilimwambia toka hapo na kuwa makini zaidi,

Kuna muda nilikiwa nalaumu watu wanakuwa magaidi au wahasi sasa inanipa mwanga kwamba kwanini watu udai haki kwa upanga!

Kwanini watu uchoma ikulu, kwanini huchoma Bunge, kwanini watu hulipua maraisi kwanini watu huua wanafamilia wa viongozi, ni kwasababu ya haya!

Nina uhakika uchaguzi hautafanyika na ukifanyika basi mizinga 21 itapigwa ya kumuapisha mtu na ndani ya masaa kadhaa kwenye kadamnasi mtashuhidia Mara ya kwanza inatokea jambo ambalo lite weka historia.

Cha msingi mjue hakutakuwa na cha Makamu kushika hatamu naye atakuwa miongoni mwa wanaotakiwa kuchimbiwa futi sita

Mengine tuyaandike bila uwazi sana kwakuwa what is coming is very very important for the sake of the nation!
TUMECHOKAAAAAA 😭😭😭😭

Britanicca
Mkuu ni aidha una hadaa umma au ni kweli upo concerned na yanayoendelea.

Kama una hadaa shame on you lkn kama upo concerned I can see why 'mipango' yenu huwa haitimii coz unlike you wenzenu maneno kidogo vitendo kwa sana.
 
Nina uhakika uchaguzi hautafanyika na ukifanyika basi mizinga 21 itapigwa ya kumuapisha mtu na ndani ya masaa kadhaa kwenye kadamnasi mtashuhidia Mara ya kwanza inatokea jambo ambalo lite weka historia.

Cha msingi mjue hakutakuwa na cha Makamu kushika hatamu naye atakuwa miongoni mwa wanaotakiwa kuchimbiwa futi sita
Aisee,
Ila bila muasisi wa wanamtandao kupigwa pini itakuwa bado hakuna tija sana
 
Polis wakishamaliza kukumaliza au kukuweka kwenye target alafu wakasema wanakutafuta ndo imeisha hiyo!

Tarehe 12 ikipita tu bila kusema ndo wanaye hatutakuwa na haja ya kuhangaika naye Bali tutatakiwa kuhangaika na mifumo ambayo inasababisha haya! Kuanza na Mafwele! Hilo Liwe wazi

Same scenario! saa nane! Same scenario Lajwabe, same scenario Mdude, and I warned Huyu bwana Tena sana nilimwambia toka hapo na kuwa makini zaidi,

Kuna muda nilikiwa nalaumu watu wanakuwa magaidi au wahasi sasa inanipa mwanga kwamba kwanini watu udai haki kwa upanga!

Kwanini watu uchoma ikulu, kwanini huchoma Bunge, kwanini watu hulipua maraisi kwanini watu huua wanafamilia wa viongozi, ni kwasababu ya haya!

Nina uhakika uchaguzi hautafanyika na ukifanyika basi mizinga 21 itapigwa ya kumuapisha mtu na ndani ya masaa kadhaa kwenye kadamnasi mtashuhidia Mara ya kwanza inatokea jambo ambalo lite weka historia.

Cha msingi mjue hakutakuwa na cha Makamu kushika hatamu naye atakuwa miongoni mwa wanaotakiwa kuchimbiwa futi sita

Mengine tuyaandike bila uwazi sana kwakuwa what is coming is very very important for the sake of the nation!
TUMECHOKAAAAAA 😭😭😭😭

Britanicca
Na iwe hivyo kama ulivyosema. Damu za Wapendwa wetu zikanene juu ya ardhi hii.
 
Mkuu punguza jazba, naelewa unavyojiskia lkn nakukumbusha hii ni bongo...mitaani huko mijadala ni kocha mpya, nchi ya wajinga hii mkuu..na hata watoa roho za watu wanajua ujuha wa wabongo.
Naongea nikiwa sina jazba wala hasira.Naongea nikiwa najua ukweli wa kinachoenda kutokea juu ya hili taifa na ulimwengu wote.Mwenyezi Mungu aliyenichagua nakunipa kibali kati ya watu wake(japokuwa sikuwa mwenye akili kupita wengine au mwenye imani kubwa kupita wengine).Nasema hivi huyu afanye anavyoweza lakini 2030 hafiki.(uchaguzi utafanyika,mshindi atatangazwa na huenda hiyo nguvu ya umma wanayosema tarehe 29 isiwepo lakini huyu Mungu aliyenifunilia uwepo wake toka mwaka 2016 anaenda kutenda kwa ajili ya mtumishi wake,taifa lake na ulimwengu wote,haki na amani vitarejea)
 
Polis wakishamaliza kukumaliza au kukuweka kwenye target alafu wakasema wanakutafuta ndo imeisha hiyo!

Tarehe 12 ikipita tu bila kusema ndo wanaye hatutakuwa na haja ya kuhangaika naye Bali tutatakiwa kuhangaika na mifumo ambayo inasababisha haya! Kuanza na Mafwele! Hilo Liwe wazi

Same scenario! saa nane! Same scenario Lajwabe, same scenario Mdude, and I warned Huyu bwana Tena sana nilimwambia toka hapo na kuwa makini zaidi,

Kuna muda nilikiwa nalaumu watu wanakuwa magaidi au wahasi sasa inanipa mwanga kwamba kwanini watu udai haki kwa upanga!

Kwanini watu uchoma ikulu, kwanini huchoma Bunge, kwanini watu hulipua maraisi kwanini watu huua wanafamilia wa viongozi, ni kwasababu ya haya!

Nina uhakika uchaguzi hautafanyika na ukifanyika basi mizinga 21 itapigwa ya kumuapisha mtu na ndani ya masaa kadhaa kwenye kadamnasi mtashuhidia Mara ya kwanza inatokea jambo ambalo lite weka historia.

Cha msingi mjue hakutakuwa na cha Makamu kushika hatamu naye atakuwa miongoni mwa wanaotakiwa kuchimbiwa futi sita

Mengine tuyaandike bila uwazi sana kwakuwa what is coming is very very important for the sake of the nation!
TUMECHOKAAAAAA 😭😭😭😭

Britanicca
Too good to be true?
 
Back
Top Bottom