Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

Chawa unatumia VPN?

Wazee nyie Ni wa ovyo sana
 
Huyu mama anafanya mambo ya ukatili kupitiliza, huku akiwa hana hata chembe ya hofu ya Mungu! Sijui amelishwa nyama mtu mpaka anakosa huruma kiasi hiki dhidi ya wakosoaji wake!

Nitakuwa mtu wa mwisho kabisa kuamini kama haya yote yanayoendelea kutokea nchini hayana baraka zake.
 
Mauaji ya namna hii haikubaliki.......na hicho kikundi kina baraka zote....
Kwa nini mnamuua Humphrey?....
Jambo hili litamletea shida sana Rais Samia na kundi lake najua wana kiburi sana..ila muda utaongea ....wanaharibu taswira ya nchi sana..
Nina uhakika baada ya kumuua kama bado hawajamuua huyu kijana Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ will never be the same again....
 
Cha msingi mjue hakutakuwa na cha Makamu kushika hatamu naye atakuwa miongoni mwa wanaotakiwa kuchimbiwa futi sita
Siku kadhaa kutoka leo kufikia hio siku ya uchaguzi.
Binafsi sipendezwi kabisa na mfumo uliopo na matamanio yangu uvunjwe kwa namna yoyote, ila naomba kutoa hakikisho itafika na kupita salama na hio siku na tutaendelea hivi hivi na uongozi huo, ila siku si nyingi sana mapambazuko yatakuja ila si kipindi hiki ila si mbali na sasa.
 
Repressive regimes zimezaa magaidi wengi sana. No one can argue with that!
 
Kwanini umemuuza polepole ? Wewe ni miongoni mwa watu mliokua mnawasiliana nae na ukamchomesha sahivi unajidai kuumia ili mtu mwingine akuamini ili umchomeshe tena.

Na nyumbu za jf zilivyokua na kichwa kigumu utazichoma sana maana nyumbu siku zote ni chakula cha mamba
 
Polepole alifanua kosa kubwa sana kuwa hapa. Kama kuna kulogwa ndio huko, very sad!
 
Britanicca bana kwaiyo unawapa taarifa kabisa wajipange,awa jamaa washajua Tz n ma keyboard warriors wanajua hakuna cha kuwafanya ndo maana wanafanya wanachotaka
Mdude na mzee kibao juzi tu apa watu wakatishia had kuroga lakin wap kina mafwele bado wanadunda na dawa zao za ukerewe uko
 
Mafwele huwezi kumloga ye mwenyewe mtaalam , ukipeleka Kuku kwa mganga ili umloge waganga wakimcheki kwenye ramli zao wanakurudishi kuku wako wanakufukuza nae.
 
Usishangae pale pale kwenye hiyo mizinga ndo akaelekezewa.
Haya ni mawazo yangu tuu jamani huku stendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…