msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,796
- 9,165
Ila vijiwe vya Arusha vina vibe sana.
Bia /Soda Baridii Unachamba KooIla vijiwe vya Arusha vina vibe sana.
Moja ya dalili ya umasikini ni hii!Bia local bei gani?
ChangamotoNi kondoo iliyopotea hiyo .
Mkuu basi tu maisha ni kupanda na kushuka enzi zangu sikuwa wa polepole kabisa, Yani Bata haikua weekend had weekend ni Kila siku mchana na usiku, mkuu, taanza kulia hapa bure nyie nikumbusheni tu enzi zanguingia bar pale mrina jifanye unazuga na bia 2 huku unachagua
Ulikuwa unapiga deal ganNilikua nikiingia bar watu wanashangilia walioko nje wanaingia ndani waliopo ndani hata kama walikua wanajiandaa kuondoka walikua wanasubiri kidogo
Siri kakaUlikuwa unapiga deal gan
Kushangiliwa na watu wengi sio poa
Sawasawa lazima m haramuSiri kaka
Inaonekana huendagi picnic mara kwa mara 😁 kijana mpambanajiShida picnic mademu walewale miaka yote, alafu ule mwanga mle ndani sio poa mwanga sana dah, Yani ata wife akisimamia barabarani anawazoom tu
Kaka humo nilikua naaingia daily, sababu xo lounge pale jirani ni kingilio, ukitoa jtatu,jnne, jtano ka sikosei, picnic mademu wengi mishangazi matako fresh ila shida mwanga humo mkali sana, pale njee nilikua nacheki sana mechi za uefa sana tu, ukikaa nje unaangalia chote kinacho endelea ndani, alafu klabu zote za Arusha ndo zilivo anzia Billy's, kipong, kasoro the boss miaka hiyo na tarakea ndo wamejitahidi kubalansi mwangaInaonekana huendagi picnic mara kwa mara 😁 kijana mpambanaji
Kwa sahivi pale xo lounge eneo wanakopaki magari, mara nyingi pale wanasimama watoto wa 2000 wanaojiuza, saa ingine mabinti hadi wa miaka 17 wako pale wanajiuza.. kijana mpambanajiKaka humo nilikua naaingia daily, sababu xo lounge pale jirani ni kingilio, ukitoa jtatu,jnne, jtano ka sikosei, picnic mademu wengi mishangazi matako fresh ila shida mwanga humo mkali sana, pale njee nilikua nacheki sana mechi za uefa sana tu, ukikaa nje unaangalia chote kinacho endelea ndani, alafu klabu zote za Arusha ndo zilivo anzia Billy's, kipong, kasoro the boss miaka hiyo na tarakea ndo wamejitahidi kubalansi mwanga
Hao hata miaka hiyo walikuwepo, kibao sana, mwaka juzi tu nimetoka huko, machimbo yote ya watoto wazuri nayamanda kinoma, mi nilikua naishi chini tu hapo, usawa wa ghorofa ya Tecno, nawajua hao Malaya wengine nimeishi nao nyumba mojaKwa sahivi pale xo lounge eneo wanakopaki magari, mara nyingi pale wanasimama watoto wa 2000 wanaojiuza, saa ingine mabinti hadi wa miaka 17 wako pale wanajiuza.. kijana mpambanaji
pole sana mkuuMkuu basi tu maisha ni kupanda na kushuka enzi zangu sikuwa wa polepole kabisa, Yani Bata haikua weekend had weekend ni Kila siku mchana na usiku, mkuu, taanza kulia hapa bure nyie nikumbusheni tu enzi zangu
Kaka nenda moshi kwanza, pale chuoni kcmcBia local bei gani?
Sasa pale kaka pana nn zaidi ya hosp na chuo?Kaka nenda moshi kwanza, pale chuoni kcmc
Pisi zile za pale chuo ni 🔥🔥Sasa pale kaka pana nn zaidi ya hosp na chuo?
Nisije jimix na wagonjwa kaka. Nina trip ya huko hivi karibuni.Pisi zile za pale chuo ni 🔥🔥