Hivi hapa Arusha kuna sehemu ina pisi kali kuzidi Kelly's lounge?

Hivi hapa Arusha kuna sehemu ina pisi kali kuzidi Kelly's lounge?

613653.jpg

Umethibitisha nyuchi za wanawake ndio zinatutawala sisi wanaume
 
Oya
Nimekuja huu mji wa arusha kikazi.mwenyeji wangu kanileta hapa kwenye hii bar..wakuu kuna pisi sio za nchi hii.
Asante for your attention on this matter.
Pale Kariakoo mtaa wa Sikukuu kila siku inapoingia usiku basi inakua ni Sikukuu
 
Back
Top Bottom