Hivi hawa Bongo Movie wanatuonaje?

Lakn kwa uongo wao huo huo, wanamaisha mazuri tena ya gharama kuliko mimi
Usiwazungumzie wanawake masna hao huko bongo muvi ni sehemu ya kuuzia sura ili biashara zao za kudanga zipae, tofauti yao na wanaokaa kilo ili kupata wateja ni location tu ya kufanyia huo uchafu. Haya ni bongo muvi yupi wa kiume unayeweza kumtolea mfano kuwa anamaisha mazuri?
 
Marehemu alizikwa na sanda. Akafufuka na jezi ya yanga.
 
Shida hapa ni elimu ,waigizaji wengi na madirectors shule hakuna .

Yaan gari linaingia getin muda unaotumika km dakika tano [emoji23][emoji23] yaan utumbo kabisa .
Pia kila movie kuonyesha makalio makubwa sijui ndio kuwatangazia biashara ya madanga.

Kuna series moja ya kibongo inaitwa Siri ya mtungi .yumo Duma mule ndani ,ile series sijawahi ichoka hata Sasa nataman kuitazama ,ile series imebeba uhalisia wa nini waigizaji wa bongo wanapaswa kufanya sio kila movie wao wnaawaza waonyeshe magorofa ya posta na magari makali .
 
Kuna movie ya Yesu ilitafsiriwa kwa kiswahili na yesu akasema tena Yesu wangu[emoji3][emoji3] hii comment nilisomaga humu JF sjawai sahau
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tatizo lilianzia kwako unayeangalia, don't take it serious 🀣🀣....ukichukulia serious kila kitu utaona hawapo serious
 
Bongo movie part 1: Matangazo dk 10 Kutembea dk 20, kulia dk 15, kukumbuka tukio la zamani dk 30, watch out part 2.
 
Bongo movie wanakosa vitu vitatu muhimu:
  • Script writers
  • Directors
  • Bajeti.

Hao hawapo, waliopo Ni kanya boya tu.
 
Mbona Hollywood wanacheza muvi mtu anapaa? Ngoma droo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…