George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Ni biashara mkuu, ukiona haina maslahi kwako unaachana yao.Salaam WanaJF!!!
Hivi hawa jamaa wa DSTV (Multichoice) wanatuchukuliaje Watanzania!? Kwamba wanatuchukulia tupo vizuri sana kiuchumi, ama wanatuchukulia sisi washamba sana au inakuwaje!?
Kila siku wanafanya kuzichezesha chaneli zao ndani ya DSTV, sio kitu cha ajabu kukuta chaneli yako pendwa imehamishiwa katika kifurushi kingine ambacho ni cha gharama zaidi. Yaani Kifurushi cha COMPACT ambacho tunalipia Tsh 50000+ kwa mwezi nacho kimeshakuwa useless, chaneli pendwa wamezisogeza kwenye kifurushi cha COMPACT plus ambacho unatakiwa kulipia Tsh 90000+ kwa mwezi.
Huu ni utapeli kwa Watanzania, sijui mnatuchukuliaje DSTV!!?
Kuachana nao ndio suluhu pekee!?Ni biashara mkuu, ukiona haina maslahi kwako unaachana yao.
Wewe unaonaje mkuu. Maana ukiachana nao hutaingia hizo gharama. Tafuta alternative maisha yaendelee.Kuachana nao ndio suluhu pekee!?
Kwani mama alisemaje??
We nawe unajikuta sanaNi biashara mkuu, ukiona haina maslahi kwako unaachana yao.
Pambana na hali yako mkuu.We nawe unajikuta sana
Wanatuchukulia jinsi tulivyoSalaam WanaJF!
Hivi hawa jamaa wa DSTV (Multichoice) wanatuchukuliaje Watanzania!? Kwamba wanatuchukulia tupo vizuri sana kiuchumi, ama wanatuchukulia sisi washamba sana au inakuwaje!?
Kila siku wanafanya kuzichezesha chaneli zao ndani ya DSTV, sio kitu cha ajabu kukuta chaneli yako pendwa imehamishiwa katika kifurushi kingine ambacho ni cha gharama zaidi.
Yaani Kifurushi cha COMPACT ambacho tunalipia Tsh 50000+ kwa mwezi nacho kimeshakuwa useless, chaneli pendwa wamezisogeza kwenye kifurushi cha COMPACT plus ambacho unatakiwa kulipia Tsh 90000+ kwa mwezi.
Huu ni utapeli kwa Watanzania, sijui mnatuchukuliaje DSTV!!?