Hivi hawa DSTV wanatuchukuliaje Watanzania?

Hivi hawa DSTV wanatuchukuliaje Watanzania?

Mimi huwa nalipia kifurushi cha Elf 21, then nalipia na Movies elf 25
Au nalipia kifurushi cha elf 9 then nalipia na movies elf 15
Maana sababu kubwa iliyonifanya nifunge DSTV Ghetto ni kuangalia Movies tu
Lakini siku hizi kifurushi kikiisha Al Jazeera unapata na chanel nyingine nyingi tu, ile zile pendwa za muvi hupati
 
Mimi huwa nalipia kifurushi cha Elf 21, then nalipia na Movies elf 25
Au nalipia kifurushi cha elf 9 then nalipia na movies elf 15
Maana sababu kubwa iliyonifanya nifunge DSTV Ghetto ni kuangalia Movies tu
Hii njia unaweza kunielewesha?
 
Mimi huwa nalipia kifurushi cha Elf 21, then nalipia na Movies elf 25
Au nalipia kifurushi cha elf 9 then nalipia na movies elf 15
Maana sababu kubwa iliyonifanya nifunge DSTV Ghetto ni kuangalia Movies tu
Movies zenyewe wanazirudia rudiaaa
 
Wanacheza na psychology za watu hao jamaa. Uki view sana chaneli wanaiweka kifurushi cha juu. Wanaweza kukupa chaneli nzuri ya kifurushi cha juu then wanitoa ili u subscribe kifurushi cha juu. Juzi mimi waliniwekea chaneli 128 ya WWE nikacheki Wrestlemania na baada ya wiki wakaitoa. Ila mimi nishawasoma,!Nilikikausha wala hata sikupandisha kifurushi.
 
The same to me hyo WWE, sasa Nashangaa Sioni kumbe ilikuwa ni ofa ya Wiki1 tu
 
Mko radhi kuandamana kushibisha matumbo yenu Kwa muda Ila hampo radhi kuingia madarakani kuifurusha madarakani serikali ya CCM iliyowafukarisha babu zenu , Baba zenu , nyie wenyewe na hata vitukuu wenu
Unadhani kupindua serikali ni kitendo cha dakika tu na kutype kwenye keyboard?
Kuna tofauti kati ya maandamano ya amani na maandamano ya kupindua serikali kitu ambacho ni uvunjifu wa amani na ni vita tayari.

Hapo kwenye kupindua serikali anza wewe mkuu.
 
Salaam WanaJF!

Hivi hawa jamaa wa DSTV (Multichoice) wanatuchukuliaje Watanzania!? Kwamba wanatuchukulia tupo vizuri sana kiuchumi, ama wanatuchukulia sisi washamba sana au inakuwaje!?

Kila siku wanafanya kuzichezesha chaneli zao ndani ya DSTV, sio kitu cha ajabu kukuta chaneli yako pendwa imehamishiwa katika kifurushi kingine ambacho ni cha gharama zaidi.

Yaani Kifurushi cha COMPACT ambacho tunalipia Tsh 50000+ kwa mwezi nacho kimeshakuwa useless, chaneli pendwa wamezisogeza kwenye kifurushi cha COMPACT plus ambacho unatakiwa kulipia Tsh 90000+ kwa mwezi.

Huu ni utapeli kwa Watanzania, sijui mnatuchukuliaje DSTV!!?
Hee! Mbona kawaida Yao... Mkuu Tangu zamani.

DStv ni gharama na channel zao haziko constant siku zotee.
 
Nunua external GB 500 weka movie nunua deki ya CD nunua bongo movie ila ukitaka DSTV toa pesa upate uduma lawama haita saidia
Du. Kweli watu tunatofautina. Yaani mtu mzima unakaa chini kabisa unaangalia bongo movie? Ma-house girl na watoto wa shule za msingi na chekechea wafanye nini sasa! Ops... samahani, kumbe unaweza kuwa wewe ni house girls au mtoto!
 
Ni biashara mkuu, ukiona haina maslahi kwako unaachana yao.
Mtanzania utamjua kwa majibu yake ya kitumwa! Mtumwa ndiye ukimuuliza kwa nini hutembei kufurahia maisha kama watu wengine anakumbia ''bwana anakataza''! Bila shaka wewe exposure yako ni sifuri na pia elimu yako imedunda! Biashara haihalalishi wafanyabiashara kufanya watakavyo!
 
Back
Top Bottom