George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
- Thread starter
- #41
SS PL n SS GSToa mfano wa chaneli ambazo zimehamishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SS PL n SS GSToa mfano wa chaneli ambazo zimehamishwa
Hauna kazi ya kufanya?Tunapoelekea bado utafute midish yako upate michannel ya bure tu.
Duh!Hauna kazi ya kufanya?
Aliyekuambia anataka channel za bure nani?
Lakini siku hizi kifurushi kikiisha Al Jazeera unapata na chanel nyingine nyingi tu, ile zile pendwa za muvi hupati
Hii njia unaweza kunielewesha?Mimi huwa nalipia kifurushi cha Elf 21, then nalipia na Movies elf 25
Au nalipia kifurushi cha elf 9 then nalipia na movies elf 15
Maana sababu kubwa iliyonifanya nifunge DSTV Ghetto ni kuangalia Movies tu
Movies zenyewe wanazirudia rudiaaaMimi huwa nalipia kifurushi cha Elf 21, then nalipia na Movies elf 25
Au nalipia kifurushi cha elf 9 then nalipia na movies elf 15
Maana sababu kubwa iliyonifanya nifunge DSTV Ghetto ni kuangalia Movies tu
Kwahyo 223 haipatikani tena Compact?SS PL n SS GS
The same to me hyo WWE, sasa Nashangaa Sioni kumbe ilikuwa ni ofa ya Wiki1 tuWanacheza na psychology za watu hao jamaa. Uki view sana chaneli wanaiweka kifurushi cha juu. Wanaweza kukupa chaneli nzuri ya kifurushi cha juu then wanitoa ili u subscribe kifurushi cha juu. Juzi mimi waliniwekea chaneli 128 ya WWE nikacheki Wrestlemania na baada ya wiki wakaitoa. Ila mimi nishawasoma,!Nilikikausha wala hata sikupandisha kifurushi.
Imehamishiwa katika package ya Compact plus Broh.Kwahyo 223 haipatikani tena Compact?
Unadhani kupindua serikali ni kitendo cha dakika tu na kutype kwenye keyboard?Mko radhi kuandamana kushibisha matumbo yenu Kwa muda Ila hampo radhi kuingia madarakani kuifurusha madarakani serikali ya CCM iliyowafukarisha babu zenu , Baba zenu , nyie wenyewe na hata vitukuu wenu
Duuh polen mzeeImehamishiwa katika package ya Compact plus Broh.
Hee! Mbona kawaida Yao... Mkuu Tangu zamani.Salaam WanaJF!
Hivi hawa jamaa wa DSTV (Multichoice) wanatuchukuliaje Watanzania!? Kwamba wanatuchukulia tupo vizuri sana kiuchumi, ama wanatuchukulia sisi washamba sana au inakuwaje!?
Kila siku wanafanya kuzichezesha chaneli zao ndani ya DSTV, sio kitu cha ajabu kukuta chaneli yako pendwa imehamishiwa katika kifurushi kingine ambacho ni cha gharama zaidi.
Yaani Kifurushi cha COMPACT ambacho tunalipia Tsh 50000+ kwa mwezi nacho kimeshakuwa useless, chaneli pendwa wamezisogeza kwenye kifurushi cha COMPACT plus ambacho unatakiwa kulipia Tsh 90000+ kwa mwezi.
Huu ni utapeli kwa Watanzania, sijui mnatuchukuliaje DSTV!!?
Dstv sio kwa ajili ya Masikini,,, Masikini sio Market target yao.
-OVER-
Ujinga wa zamani + Ujinga wa sasa = UjingaHee! Mbona kawaida Yao... Mkuu Tangu zamani.
DStv ni gharama na channel zao haziko constant siku zotee.
Aendee bar TU,maana hata ujugu kapandisha bei siyo Mia Tano Tena,Sasa hivii ni 800.Una hadhi ya kulipia banda umiza?kama huna basi nenda hotelini
Du. Kweli watu tunatofautina. Yaani mtu mzima unakaa chini kabisa unaangalia bongo movie? Ma-house girl na watoto wa shule za msingi na chekechea wafanye nini sasa! Ops... samahani, kumbe unaweza kuwa wewe ni house girls au mtoto!Nunua external GB 500 weka movie nunua deki ya CD nunua bongo movie ila ukitaka DSTV toa pesa upate uduma lawama haita saidia
Mtanzania utamjua kwa majibu yake ya kitumwa! Mtumwa ndiye ukimuuliza kwa nini hutembei kufurahia maisha kama watu wengine anakumbia ''bwana anakataza''! Bila shaka wewe exposure yako ni sifuri na pia elimu yako imedunda! Biashara haihalalishi wafanyabiashara kufanya watakavyo!Ni biashara mkuu, ukiona haina maslahi kwako unaachana yao.