Wanapenda kukubali kuonewa, kukandamizwa na kupunjwa under the name of "hewala bwana wacha tu nifunike kombe mwanaharamu apite".Mtanzania utamjua kwa majibu yake ya kitumwa! Mtumwa ndiye ukimuuliza kwa nini hutembei kufurahia maisha kama watu wengine anakumbia ''bwana anakataza''! Bila shaka wewe exposure yako ni sifuri na pia elimu yako imedunda! Biashara haihalalishi wafanyabiashara kufanya watakavyo!
hamia kwenye king'amuzi ambacho una uwezo nachoSalaam WanaJF!
Hivi hawa jamaa wa DSTV (Multichoice) wanatuchukuliaje Watanzania!? Kwamba wanatuchukulia tupo vizuri sana kiuchumi, ama wanatuchukulia sisi washamba sana au inakuwaje!?
Kila siku wanafanya kuzichezesha chaneli zao ndani ya DSTV, sio kitu cha ajabu kukuta chaneli yako pendwa imehamishiwa katika kifurushi kingine ambacho ni cha gharama zaidi.
Yaani Kifurushi cha COMPACT ambacho tunalipia Tsh 50000+ kwa mwezi nacho kimeshakuwa useless, chaneli pendwa wamezisogeza kwenye kifurushi cha COMPACT plus ambacho unatakiwa kulipia Tsh 90000+ kwa mwezi.
Huu ni utapeli kwa Watanzania, sijui mnatuchukuliaje DSTV!!?
Si kweliCanal+ shida Iko KWENYE malipoo.
Mimi sio fundi dish ila huo ndio ukweli,Mafundi madishi mna maneno.
Okay, labda kipindi unalipia bado ilikuwa kwa Compact package, huu uzi nimeupandisha hapa jana (Alhamis), huenda kuna mabadiliko wameyafanya Jumatano au Alhamis!Mimi nimelipia Tuesday na S3 ipo kwenye COMPACT
Daaaah! Wabongo bhana!hamia kwenye king'amuzi ambacho una uwezo nacho
Yaani acha tu mkongwe, yaani inashangaza sana. Nilijua ni mimi tu nimeliona hili. Mtu anakuambia kirahisi tu "kama unaona gharama hauziwezi tafuta king'amuzi kingine" huko kwenye king'amuzi kingine ni wafanyabiashara pia, nao wakiamua kufanya uhuni? Si nitakuwa nafanya kazi ya kununua ving'amuzi tu kila mara. 😂😂😂😂Mtanzania utamjua kwa majibu yake ya kitumwa! Mtumwa ndiye ukimuuliza kwa nini hutembei kufurahia maisha kama watu wengine anakumbia ''bwana anakataza''! Bila shaka wewe exposure yako ni sifuri na pia elimu yako imedunda! Biashara haihalalishi wafanyabiashara kufanya watakavyo!
Yanapatikana wapinunua dishi la free to air wala hautalipia hata senti au nunua decoda ya canal+ bei zao kitonga na unaona ligi zote za ulaya na movies za kutosha kwa 30000 tu ila lugha kifaransa
Mjomba, hiyo package yako umeilipia lini?
Leo ni tarehe 15 mkongwe, malizia package yako kwanza halafu tutapeana mrejesho baadae, au tuombe kabla ya package yako kuisha wawe wamepokea malalamiko na kuyafanyia kazi.Nmelipia trh 29/03/2022
Leo ni tarehe 15 mkongwe, malizia package yako kwanza halafu tutapeana mrejesho baadae, au tuombe kabla ya package yako kuisha wawe wamepokea malalamiko na kuyafanyia kazi.
Hivi bhachu, umeelewa hata ninachozungumzia? Kabla sijalipia nina kawaida ya kucheki mtandaoni vifurushi vimekaaje, ili kama kuna mabadiliko nijue. Sasa nimecheki nimekuta kifurushi cha Compact hakina channel ya Supersport PL.Mzee acha mbwembwe, we lipia hiyo 51,000 then utatupa mrejesho hapa hapa.
Labda hivyo visimbuzi vingine sio dstv.Lakini siku hizi kifurushi kikiisha Al Jazeera unapata na chanel nyingine nyingi tu, ile zile pendwa za muvi hupati
Basi kwangu ni tofauti, huwa nizikuta zipo kifurushi kikikataLabda hivyo visimbuzi vingine sio dstv.
Hapa wamekata zote wameacha ile ya matangazo na tbc tuu.
Zile za kibongo kama eatv, clouds, chanel ten na upendo tv nadhani wanakuachia kwa muda tu kama 2weeks hivi.
Ni kawaida ya dstv kifurushi kikikata wanapunguza channel chache chache kwa muda flani.Basi kwangu ni tofauti, huwa nizikuta zipo kifurushi kikikata
Kama ingekuwa wanakubali uwarudishie king'amuzi chao na warudishe pesa ingekuwa vizuri sana, maana kuachana nao maana yake ukatafute kwingine !!Wewe unaonaje mkuu. Maana ukiachana nao hutaingia hizo gharama. Tafuta alternative maisha yaendelee.