Hivi hawa marefa wa kibongo huwa mna watoa kijiji gani?

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,818
Dah! yaani nilitamani kuvunja video pale nilipoona refa anaongeza dakika 7' tukio hili limesababisha kuwavunja nguvu wachezaji wa jkt na kuweza kufungwa,,
Ila Simba Sc mmebebwa na refa! dakika 7' si bora angeOngeza hata 4'
 
Hizo dk zilizoongezwa JKT haiwahusu?simba pekee walikuwa uwanjani ?je kwenye hizo dk JKT wangefunga goli mgelalamika?
Vyura Nye wa ajabu jana Azam wamenyimwa goli la wazi lile la ngoma halafu Leo mnaleta midomo.

Tulieni sindano iwaingie vizuri.
Yule refa ndo refa bora kwa misimu miwili iliyopita
 
58574677_2238878756199986_307851212688982016_o.jpg

Aliyewaita vyura mbute mbute gongo wazi hakukosea. Akili zenu ziko makalioni kama chura ya snura
 
Ko mpira kama umesema Sana dakika ziziongezwe?
 
Walaum wachezaji wa JKT ,coz wamelala Sana pia wamejiangusha dika za 80 mpaka wakawa wanakera so walicho kua wanakitafuta wamekipata
 
Dah! yaani nilitamani kuvunja video pale nilipoona refa anaongeza dakika 7' tukio hili limesababisha kuwavunja nguvu wachezaji wa jkt na kuweza kufungwa,,
Ila Simba Sc mmebebwa na refa! dakika 7' si bora angeOngeza hata 4'
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mchochanganyaga yanga ni kuwa hamjuagi kama mpira ni dakika 90
 
Hizo dk zilizoongezwa JKT haiwahusu?simba pekee walikuwa uwanjani ?je kwenye hizo dk JKT wangefunga goli mgelalamika?
Vyura Nye wa ajabu jana Azam wamenyimwa goli la wazi lile la ngoma halafu Leo mnaleta midomo.

Tulieni sindano iwaingie vizuri.
Yule refa ndo refa bora kwa misimu miwili iliyopita
jkt walikuwa pungufu hizo dakika 7 ziliongezwa kuwatafutia simba goli na zikapitiliza mpaka dakika 9
 
Dah! yaani nilitamani kuvunja video pale nilipoona refa anaongeza dakika 7' tukio hili limesababisha kuwavunja nguvu wachezaji wa jkt na kuweza kufungwa,,
Ila Simba Sc mmebebwa na refa! dakika 7' si bora angeOngeza hata 4'
Mkuu soka ni mchezo mpana sana nafikiri ungeanza kufanya utaratibu wa kuanza kufuatilia golf
 
Back
Top Bottom