hajikagoro
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 216
- 185
Sasa ww jamaa ulitakaje?? Wachezaji wa jkt walianza kujiangusha kupoteza muda na mpira ulisimama kuanzia dk ya 87 mpaka 90,
Pia ipo hivi, kwanza kila sub inayofanyika refa anafidia sekunde 30, so kwa jkt na simba kufanya sub zote yaan kila timu kuingiza wachezaji wake wote watatu ina maana wachezaji 6 kwa nusu dakika kila mmoja hii tunapata dakika 3 za kuongeza,
Pili, kipa wa jkt aliumia na kutibiwa uwanjani kwa dk zisipungua 3 japo ilionekana ni hali ya kupoteza muda na refa alimlima njano,
Tatu, wachezaji wa jkt wawili walijiangusha au kuumia na kutolewa kwa machela na zoezi hilo lilipoteza si chini ya dk 3 kwa wote,
Sasa kwa mpira kusimama dk zote hizo mlitaka refa afidie dk ngapi nyie vyuraaaaaaa