Hivi hawa marefa wa kibongo huwa mna watoa kijiji gani?

Hivi hawa marefa wa kibongo huwa mna watoa kijiji gani?

Sasa ww jamaa ulitakaje?? Wachezaji wa jkt walianza kujiangusha kupoteza muda na mpira ulisimama kuanzia dk ya 87 mpaka 90,
Pia ipo hivi, kwanza kila sub inayofanyika refa anafidia sekunde 30, so kwa jkt na simba kufanya sub zote yaan kila timu kuingiza wachezaji wake wote watatu ina maana wachezaji 6 kwa nusu dakika kila mmoja hii tunapata dakika 3 za kuongeza,
Pili, kipa wa jkt aliumia na kutibiwa uwanjani kwa dk zisipungua 3 japo ilionekana ni hali ya kupoteza muda na refa alimlima njano,
Tatu, wachezaji wa jkt wawili walijiangusha au kuumia na kutolewa kwa machela na zoezi hilo lilipoteza si chini ya dk 3 kwa wote,
Sasa kwa mpira kusimama dk zote hizo mlitaka refa afidie dk ngapi nyie vyuraaaaaaa
 
Gongowazi [emoji196][emoji196] kauzeni BIRIANI Tu
Screenshot_2019-05-01-09-45-53-097_com.instagram.android.jpg
 
Dah! yaani nilitamani kuvunja video pale nilipoona refa anaongeza dakika 7' tukio hili limesababisha kuwavunja nguvu wachezaji wa jkt na kuweza kufungwa,,
Ila Simba Sc mmebebwa na refa! dakika 7' si bora angeOngeza hata 4'
Mkiongezewa nyinyi sawa ila wengne mnalia poleen sana chezni mpra sio kulalamka t kila sku ..malalamiko sc chura sc tako sc lia lia sc
seekertz1_-20190501-0001.jpeg
 
Hizi ni Imani za kishirikina tu ndizo zinazo wasumbua. Kama lengo lao nilikuwa ni kuwabeba Simba ili washinde , basi hata kama wangeongeza dakika 2 bado Simba wangeshinda. Simba wakifungwa kwenu ndio mnaona game imekuwa fair, wakishinda wao mnaanza sababu za kipuuzi!!!
 
Mikia FC wanabebwa hadi aibu na Tifutifu aisee..........
 
Back
Top Bottom