Hivi hawa marefa wa kibongo huwa mna watoa kijiji gani?

Hivi hawa marefa wa kibongo huwa mna watoa kijiji gani?

Dah! yaani nilitamani kuvunja video pale nilipoona refa anaongeza dakika 7' tukio hili limesababisha kuwavunja nguvu wachezaji wa jkt na kuweza kufungwa,,
Ila Simba Sc mmebebwa na refa! dakika 7' si bora angeOngeza hata 4'
vipi hapa yanga na dk 7?
865A1CE9-9728-465E-8B6F-CF88AAB54F94.jpeg
 
Hizo dk zilizoongezwa JKT haiwahusu?simba pekee walikuwa uwanjani ?je kwenye hizo dk JKT wangefunga goli mgelalamika?
Vyura Nye wa ajabu jana Azam wamenyimwa goli la wazi lile la ngoma halafu Leo mnaleta midomo.

Tulieni sindano iwaingie vizuri.
Yule refa ndo refa bora kwa misimu miwili iliyopita
Umenikumbusha enzi za ferguson na fergie time!! Walikutana na wajomba liver muda wa nyongeza torres km sikosei akawafunga.

Hizo dk wanacheza wote uwanjani.
 
Wizzziii mtupu
Alafu jiwe anamchukia mwakembe wakati wanao uaribu mpira wa Tz wamejazana msimbazi,
 
Hivi hawa BMT na wizara husika hawana ubavu kwa TFF au mpaka mh.Rais azungumzie madudu ya TFF na Bodi ya ligi?
 
Hivi hawa BMT na wizara husika hawana ubavu kwa TFF au mpaka mh.Rais azungumzie madudu ya TFF na Bodi ya ligi?
 
Back
Top Bottom