barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
vipi hapa yanga na dk 7?Dah! yaani nilitamani kuvunja video pale nilipoona refa anaongeza dakika 7' tukio hili limesababisha kuwavunja nguvu wachezaji wa jkt na kuweza kufungwa,,
Ila Simba Sc mmebebwa na refa! dakika 7' si bora angeOngeza hata 4'