Nyani haoni kundule!!View attachment 1084985
Aliyewaita vyura mbute mbute gongo wazi hakukosea. Akili zenu ziko makalioni kama chura ya snura
Uyo chura ni punguani anaongea kama baamediAngalia video hiyo Uone goli limefungwa dk ya Ngapi!!Pole sana unateseka sanaView attachment 1085005
ha ha vyura mmejisahaulisha kipa dakika ya 87 kajilaza hadi dakika ya 90 inafika hajaamka! achilia mbali wengine bila kuguswa wanajilaza hadi waletewe machela!
Hahaahaa,,,Umemuuwa huyu chura kijerumani kabisa
Hapa marefa walikuwa wanambeba nani??zimeongezwa dakika saba halafu goli limefungwa dakika ya 98, hawa marefa wanaibeba simba wazi kabisa
Hapa tff walikuwa wanampa nani ubingwa??Tff wameshaamua kuwapa mikia ubingwa! Kilichobaki nikupoteza muda bure tu!
Pungufu hata juzi na sisi tulikuwa pungufu tulivyocheza na biasharaLipuli FC pia walikuwa pungufu [emoji848]
madudu ya tff kama haya??Hivi hawa BMT na wizara husika hawana ubavu kwa TFF au mpaka mh.Rais azungumzie madudu ya TFF na Bodi ya ligi?
Pungufu hata juzi na sisi tulikuwa pungufu tulivyocheza na biashara
Nyie hapa mliongezwa dakika ngapi mkapata point 0???Na mkaongezwa hizo dkk 8 zote ili mpate goli la pointi 3[emoji848]
Unless km unaleta ushabiki wa Simba na Yanga nitakuelewa, ila km ni swala la dakika 7 kuongezwa, km ni mfuatiliaji wa mpira kuongezwa dakika 7 sio hoja ya msingi Kwani ht huko kwenye ligi kubwa zinaongezwaDah! yaani nilitamani kuvunja video pale nilipoona refa anaongeza dakika 7' tukio hili limesababisha kuwavunja nguvu wachezaji wa jkt na kuweza kufungwa,,
Ila Simba Sc mmebebwa na refa! dakika 7' si bora angeOngeza hata 4'
Asante kuwawekea kielelezo mezani, watasema hiyo sio namba 7 bali watasema ni herufi LView attachment 1084985
Aliyewaita vyura mbute mbute gongo wazi hakukosea. Akili zenu ziko makalioni kama chura ya snura
Nyie hapa mliongezwa dakika ngapi mkapata point 0???View attachment 1085082
Kama nyinyi hapa??Na mkaongezwa hizo dkk 8 zote ili mpate goli la pointi 3[emoji848]
Kwani nyie tuliwafungajefungaje juzi hapa taifa??kama kuongeza dakika nikubebwa mbona hata nyie mnabebwaHivi mlifikaje fikaje huko CAF QUARTER FINALS, hamuoni ile laana ya kupigwa hamsa hamsa bado inawatafuna pa1 na kubebwa kote huku[emoji848][emoji1787]
Hata sielewi kwamba mliwafunga Timu ya Wananchi hamsa hamsa mpaka wakabebeshwa kikapu cha magoli 17[emoji848][emoji23]Kwani nyie tuliwafungajefungaje juzi hapa taifa??
Hiyo timu iliyofungwa hamsahamsa ndo imewalawiti yanga juzijuzi pale taifa...yaani yanga waligeuzwa wakapigwa kimoja cha makalioni na timu bovu linalopigwa hamsahamsaHata sielewi kwamba mliwafunga Timu ya Wananchi hamsa hamsa mpaka wakabebeshwa kikapu cha magoli 17[emoji848][emoji23]
Kagera FC amekusikia kwa kuwa huwa una mahaba naye sana maana haijawahipita hata mwaka m1 bila ya kumpatia pointi 3.Hiyo timu iliyofungwa hamsahamsa ndo imewalawiti yanga juzijuzi pale taifa...yaani yanga waligeuzwa wakapigwa kimoja cha makalioni na timu bovu linalopigwa hamsahamsa
Yaani hilo timu bovu la simba linalofungwa hamsahamsa linafungwa mpaka na kina kagera ndo lililowageuza yanga likawaingilia kinyume na maumbile kwa kimoja cha makalioni juzijuzi taifaKagera FC amekusikia kwa kuwa huwa una mahaba naye sana maana haijawahipita hata mwaka m1 bila ya kumpatia pointi 3.
Pole sana mzee wa hamsa Jamaa[emoji38]