interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Yaani hilo timu bovu la simba linalofungwa hamsahamsa linafungwa mpaka na kina kagera ndo lililowageuza yanga likawaingilia kinyume na maumbile kwa kimoja cha makalioni juzijuzi taifa
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]View attachment 1084985
Aliyewaita vyura mbute mbute gongo wazi hakukosea. Akili zenu ziko makalioni kama chura ya snura
Tulia dawa ikuingie...kimoja cha makalioni juzijuzi taifa...tigo bado mbichiiiiiiiiiHasira za Mkizi...[emoji847]
Siku yanga anafungwa na Lipuli ziliongezwa hizo hizo dk 7 mbona hamkulalamika?? Malipo hapa hapa duniani mbinguni tunaweka sahihi tuDah! yaani nilitamani kuvunja video pale nilipoona refa anaongeza dakika 7' tukio hili limesababisha kuwavunja nguvu wachezaji wa jkt na kuweza kufungwa,,
Ila Simba Sc mmebebwa na refa! dakika 7' si bora angeOngeza hata 4'
Tulia dawa ikuingie...kimoja cha makalioni juzijuzi taifa...tigo bado mbichiiiiiiiii
Wanajifanya siku hiyo wanafungwa Na Lipuli vyura walijazana taifa kushangilia As Vita dk hadi 99 niliumia sana siku hiyo ila hawakufua dafu Vyura masikiniHiyo na Lipuli ziliongezwa Dakika 7 lakini hapo unaona ni Dakika ya 99 View attachment 1085003
Dozi niliyokupa inatosha😂😂😂😂😂😂.....kimoja cha makalioni dadekiOngeza bidii ya kuleta mapya mapya basi maana hayo ni marudio tu Chifu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dozi niliyokupa inatosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....kimoja cha makalioni dadeki
Leta wewe mpya nikupe mpya...mbona wewe unashindwa kuleta mpyaMarudio + marudio daaah!...? Lete lete mapya basi Chifu[emoji16]
Ile game ya VYURA na AZAM kuna penalty Azam walinyimwa! Refa katoa advantage ndani ya 18! Shabash! Hakuna advantage ndani ya 18 unless mpira umeingia nyavuni!Hizo dk zilizoongezwa JKT haiwahusu?simba pekee walikuwa uwanjani ?je kwenye hizo dk JKT wangefunga goli mgelalamika?
Vyura Nye wa ajabu jana Azam wamenyimwa goli la wazi lile la ngoma halafu Leo mnaleta midomo.
Tulieni sindano iwaingie vizuri.
Yule refa ndo refa bora kwa misimu miwili iliyopita
Kabisa Chifu [emoji5]Watu ambao huwa wanafuatilia mpira wa Tanzania na Africa tu kwa ujumla, Majority akili zao hazpo sawa..samahan lakn
alikuwa anacheza na timu pungufuKwa hiyo hizo dk 7 simba alikua anacheza peke yake.
Kwahiyo mkuu unafikiri ile kadi nyekundu iliwekwa kwa ajili gani !!alikuwa anacheza na timu pungufu
achana nao wish wakose na FAHiyo na Lipuli ziliongezwa Dakika 7 lakini hapo unaona ni Dakika ya 99 View attachment 1085003
acha kujitoa akili kama ulikosa jero ya kuangalia mpira lalamikia umaskin wakoNa mkaongezwa hizo dkk 8 zote ili mpate goli la pointi 3[emoji848]