Hivi hawa masai wanaotembea wakiuza dawa ni za kweli au matapeli?

Hivi hawa masai wanaotembea wakiuza dawa ni za kweli au matapeli?

HAhaha wahuni tu kuna siku nmekaa betting naskilizia mikeka yangu nko nje kaja masai anaanza kutangaza bidhaa zake ..akasema kuna dawa ya kutongozea demu yyte hachomoi unalamba sjui unatafuna nkamwambia inafanya kaz saa hii hii akanambia ndyo nkamwambia bei gan anasema 20K nkamwambia fresh nipe sample kidg nionje hapa sa hv akipta demu nimfate maana ni main road mademu kibao wanapita tumesumbuana pale mwsh wa sku akasarenda waongo tu hawa
 
Wamasai ni kabila linaloenzi tamaduni zao sio inferior kama makabila mengine yanayorubunika na tamaduni za kigeni.

Ni kabila pekee ambalo linaishi kwa kufuata kanuni za makundi katika jamii.

Kila kundi la umri Lina majukumu yake maalum.

Madawa yapo mengi sana na yanatibu ila kuyapata Kuna namna Huwa yanapatikana.

Madawa huufanya mwili kuwa imara na usiopata madhara ya magonjwa madogo madogo kila mara.
Wapo baadhi tena wengi kiasi ni matapeli
 
Dadadadeki maasai ni kabila la hovyo sana tumewapa Imani hadi wameamua kukufuru hio imani.
mi nilishangaa kuona mavi ya tembo wanauza. Ukibisha jaribu kupita karibu na wale akina mama wanaouza kando ya barabara wakiuza shanga pia.
 
Hola Amigos,
Jana nmekutana na mmasaai anatembea akiuza dawa mbalimbali kwenye kigunia, alikuwa ameshikilia kama kimenu cha dawa alizonazo na bei zake, ukikutana naye haongei sana anakupa kipeperushi tu.

Baadhi ya dawa nlizoziona kwenye menu
Mkongo puturu-10,000
Mkuyati-15,000
Dawa ya mapenzi(kutongozea)-25,000
Nk. Nk. magonjwa mengine…

Hivi hizi dawa za hawa jamaa zina ukweli wowte au ni utapeli tu mjini?
Uongo wa kimasai ni mmbaya sana. Na wengi hata sio wamasai. Mimi ndio dawa yao kwani hawawezi kinitapeli na hukimbia mara moja.
 
Wamasai ni kabila linaloenzi tamaduni zao sio inferior kama makabila mengine yanayorubunika na tamaduni za kigeni.

Ni kabila pekee ambalo linaishi kwa kufuata kanuni za makundi katika jamii.

Kila kundi la umri Lina majukumu yake maalum.

Madawa yapo mengi sana na yanatibu ila kuyapata Kuna namna Huwa yanapatikana.

Madawa huufanya mwili kuwa imara na usiopata madhara ya magonjwa madogo madogo kila mara.
Naomba na mie.
 
Kuna jamaa aliwahi pitisha dawa za mapenzi nilikua siamini nikasema ngoja nichukue. Dawa yenyewe ni kamzizi unakalamba alafu nakagusisha kwenye paji la uso. Ufanyaji kazi wa dawa unatakiwa umuite mwanamke uliemchagua alafu akiitika na kukuangalia unakalamba hako kamzizi na kukagusisha kwenye paji la uso, dawa inaitwa staki utani na bei yake ilikua 5k.

Nilichukua nikaijaribu kwa mama mmoja nilikua namtaka kitambo ikagoma. Nikakutana na jamaa tena nikamwambia haijafanya kazi akaniambia sikumaanisha nikarudia tena ikatiki lakini nilinuia kabisa huyu mama nikamle kaili za ujana sio nzuri. Cha ajabu yule maza nilipomaliza kunyandua alikurupuka akasepa bila kuniambia chochote alininunia wiki nzima nikaona haya mambo ya dawa ntakuja kuumbuka. Cha msingi fanya majaribio ila kwenye kujaribu vitu kama mkongo hakikisha unademu yupo geto
 
Matapeli hao wapuuzi nina ushahidi wa utapeli wao
 
Hapana mkuu, sio kama unazichezea. Research inahitaji hela, huko kununua ni part of research.

Kila mmoja alisema hana hela za kuchezea,mtabaki mnaulizana tu bila majibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Masai unawesa muona ameshika kachupa kamoja kamejaa dawa, maajabu sasa, mwambie naumwa mgongo atakwambia hii ndio dawa yake, mwambie miguu atakwambia hii ndio dawa yake, mwambie malaria atakwambia hii hii inamarisa malaria kabisaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HAhaha wahuni tu kuna siku nmekaa betting naskilizia mikeka yangu nko nje kaja masai anaanza kutangaza bidhaa zake ..akasema kuna dawa ya kutongozea demu yyte hachomoi unalamba sjui unatafuna nkamwambia inafanya kaz saa hii hii akanambia ndyo nkamwambia bei gan anasema 20K nkamwambia fresh nipe sample kidg nionje hapa sa hv akipta demu nimfate maana ni main road mademu kibao wanapita tumesumbuana pale mwsh wa sku akasarenda waongo tu hawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawa asili za Kimasai haziuzwi kwa pesa,ukiwa mazingira ya Umasaini utaonyeshwa kila aina ya mti na tiba yake ya magonjwa..Asilimia 90 ya dawa zinazouzwa mijini ni harakati tu za Wana kusaka noti
 
Hola Amigos,
Jana nmekutana na mmasaai anatembea akiuza dawa mbalimbali kwenye kigunia, alikuwa ameshikilia kama kimenu cha dawa alizonazo na bei zake, ukikutana naye haongei sana anakupa kipeperushi tu.

Baadhi ya dawa nlizoziona kwenye menu
Mkongo puturu-10,000
Mkuyati-15,000
Dawa ya mapenzi(kutongozea)-25,000
Nk. Nk. magonjwa mengine…

Hivi hizi dawa za hawa jamaa zina ukweli wowte au ni utapeli tu mjini?
Wizi mtupu Masai na putuluu wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom