Hivi hawa masai wanaotembea wakiuza dawa ni za kweli au matapeli?

Hivi hawa masai wanaotembea wakiuza dawa ni za kweli au matapeli?

Ujaangalia menu vizuri wana dawa ya utajiri na wao angali hawana kitu Kwa kigezo cha mganga hajigangi- pambana nao mkuu

Wanafuga simba hao
 
Hapana mkuu, sio kama unazichezea. Research inahitaji hela, huko kununua ni part of research.

Kila mmoja akisema hana hela za kuchezea,mtabaki mnaulizana tu bila majibu.
Kweli kabisa Aposto 😆 😆 😆
 
Back
Top Bottom