fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Wapo baadhi tena wengi kiasi ni matapeliWamasai ni kabila linaloenzi tamaduni zao sio inferior kama makabila mengine yanayorubunika na tamaduni za kigeni.
Ni kabila pekee ambalo linaishi kwa kufuata kanuni za makundi katika jamii.
Kila kundi la umri Lina majukumu yake maalum.
Madawa yapo mengi sana na yanatibu ila kuyapata Kuna namna Huwa yanapatikana.
Madawa huufanya mwili kuwa imara na usiopata madhara ya magonjwa madogo madogo kila mara.
Kuna kabila hapa duniani halina matapeli??Wapo baadhi tena wengi kiasi ni matapeli
mi nilishangaa kuona mavi ya tembo wanauza. Ukibisha jaribu kupita karibu na wale akina mama wanaouza kando ya barabara wakiuza shanga pia.Dadadadeki maasai ni kabila la hovyo sana tumewapa Imani hadi wameamua kukufuru hio imani.
Uongo wa kimasai ni mmbaya sana. Na wengi hata sio wamasai. Mimi ndio dawa yao kwani hawawezi kinitapeli na hukimbia mara moja.Hola Amigos,
Jana nmekutana na mmasaai anatembea akiuza dawa mbalimbali kwenye kigunia, alikuwa ameshikilia kama kimenu cha dawa alizonazo na bei zake, ukikutana naye haongei sana anakupa kipeperushi tu.
Baadhi ya dawa nlizoziona kwenye menu
Mkongo puturu-10,000
Mkuyati-15,000
Dawa ya mapenzi(kutongozea)-25,000
Nk. Nk. magonjwa mengine…
Hivi hizi dawa za hawa jamaa zina ukweli wowte au ni utapeli tu mjini?
Naomba na mie.Wamasai ni kabila linaloenzi tamaduni zao sio inferior kama makabila mengine yanayorubunika na tamaduni za kigeni.
Ni kabila pekee ambalo linaishi kwa kufuata kanuni za makundi katika jamii.
Kila kundi la umri Lina majukumu yake maalum.
Madawa yapo mengi sana na yanatibu ila kuyapata Kuna namna Huwa yanapatikana.
Madawa huufanya mwili kuwa imara na usiopata madhara ya magonjwa madogo madogo kila mara.
Naomba na mie.
Umepata.Naomba na mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mkuu, sio kama unazichezea. Research inahitaji hela, huko kununua ni part of research.
Kila mmoja alisema hana hela za kuchezea,mtabaki mnaulizana tu bila majibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masai unawesa muona ameshika kachupa kamoja kamejaa dawa, maajabu sasa, mwambie naumwa mgongo atakwambia hii ndio dawa yake, mwambie miguu atakwambia hii ndio dawa yake, mwambie malaria atakwambia hii hii inamarisa malaria kabisaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HAhaha wahuni tu kuna siku nmekaa betting naskilizia mikeka yangu nko nje kaja masai anaanza kutangaza bidhaa zake ..akasema kuna dawa ya kutongozea demu yyte hachomoi unalamba sjui unatafuna nkamwambia inafanya kaz saa hii hii akanambia ndyo nkamwambia bei gan anasema 20K nkamwambia fresh nipe sample kidg nionje hapa sa hv akipta demu nimfate maana ni main road mademu kibao wanapita tumesumbuana pale mwsh wa sku akasarenda waongo tu hawa
😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechekaa mbavu cnaaa woiiiiii[emoji16][emoji16]
Wizi mtupu Masai na putuluu wapi na wapi?Hola Amigos,