Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nikiangalia jinsi wanavyocheza mechi hii na MIsri najiuliza kama kweli tuliwafunga zile bao tatu kwa kuwazidi uwezo ama mambo ya Ujirani mwema yalihusika!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana aisee. Maana mpaka sasa ni wamisri ndiyo wamezidiwa hata kama wanaongoza kwa bao moja!!Ile mechi taifa kina Bashite waliicheza nje ya uwanja
Wako vizuri sana na wanawapelekesha Wamisri! Halafu pamoja na wamisri kujaa uwanjani waganda inaonekana hawajachanganywa na kelele zao za Vuvuzela!!Uganda wako vizuri Sana kuliko hata wale senegali na diata wao.
Huu uchoyo utawagharimu sana. Goli la Pili lingekuwa limefungwa huku na wao wakiwa na angalau na goli moja.Tatizo ni wachoyo wawapo kwenye 18 ya timu pinzani.
Usizisahau kamati za ufundi.Pamoja na kwamba wameshafungwa goli, lakini uwezo wao uwanjani unanifanya nishangae ni kwa nini walikuwa mdebwedo pale Kwa mchina!!
Hawa nao wanakera jinsi wanavyomalizia pale ndani na nje ya kumi na nane!!Zimbabwe leo sijui wamekula maharagwe ya wapi?hawana kipper.
Jamaa wameshapigwa mbili mpaka sasa lakini unaona kabisa si kwa kuwa ni dhaifu bali wenzao wamepata fursa walizozitumia.Mechi iliisha ikulu ile
Uganda wanajuaJamaa wameshapigwa mbili mpaka sasa lakini unaona kabisa si kwa kuwa ni dhaifu bali wenzao wamepata fursa walizozitumia.
Pale kwa mchina hata Sevilla wenyewe wanapajua palivyo moto.Pamoja na kwamba wameshafungwa goli, lakini uwezo wao uwanjani unanifanya nishangae ni kwa nini walikuwa mdebwedo pale Kwa mchina!!