Hivi hawa waganda ndiyo tuliwafunga tatu bila?

Hivi hawa waganda ndiyo tuliwafunga tatu bila?

Pamoja na kwamba wameshafungwa goli, lakini uwezo wao uwanjani unanifanya nishangae ni kwa nini walikuwa mdebwedo pale Kwa mchina!!
 
Uganda wako vizuri Sana kuliko hata wale senegali na diata wao.
Wako vizuri sana na wanawapelekesha Wamisri! Halafu pamoja na wamisri kujaa uwanjani waganda inaonekana hawajachanganywa na kelele zao za Vuvuzela!!
 
Waganda wapo vizuri,sema umaliziaji leo hawapo sawa. Wamechezea sana kwenye goal la Egypt na wamepata kona za kutosha sema ndo hawafungi. Wanapigwa goal la pili hapa.Mashabiki wa Egypt nao wanasaidia Egypt kushinda.
 
Back
Top Bottom