Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1]Walikuwa panya road
Huwezi kwenda mjini kama hujaulambaa[emoji443] [emoji445] [emoji443] bonge moja la singeli yaniNauliza tu, maana kuanzia mwakajana kumeibuka utitiri wa vijana wanaoimba muziki huu, je kabla haujaaanza kutambulika mtaani walikuwa wanaimba nini, au walikuwa hawaimbi?
Nauliza tu, maana kuanzia mwakajana kumeibuka utitiri wa vijana wanaoimba muziki huu, je kabla haujaaanza kutambulika mtaani walikuwa wanaimba nini, au walikuwa hawaimbi?
"Buti kama hili haunaaa,chepe kama hili haunaaa belo kama hili haunaa"
Nauliza tu, maana kuanzia mwakajana kumeibuka utitiri wa vijana wanaoimba muziki huu, je kabla haujaaanza kutambulika mtaani walikuwa wanaimba nini, au walikuwa hawaimbi?
[emoji1] [emoji1][emoji1] [emoji1]
Aisee sijawahi uelewa huo muzikiTungekuwa tunathamini vya kwetu kama tunavyothamini vya ulaya basi mchiriku,mnanda,vanga na segere ingekuwa mbali sana,mkuu kuna madogo huku kitintale wanapiga vigoma vya hatari,tatizo muziki wenyewe unaimbwa na wa huni na umekaa kihunihuni
Lakn xaxa iv tumeacha ukabaji kabixa mkuuMimi ninachojua tu ni kwamba kabla ya kuingia katika ' Singeli ' ndiyo walikuwa ' Vibaka ' wa Kutukuka katika Viunga vyote vya Jiji la Dar es Salaam.
We fara nikikunaxa kichwachako ni halal yanguEe Mungu, muweza wa yote, asante kwa kuifanya singeli ibakie Dar es salaam japo upepo wa fiesta ulitaka kuieneza hata huku bara, Bwana tunakushukuru kuwalinda watoto wetu na aina hii ya muziki ambao wavulana wanabinua tu-makalio kama ngedere usifike huku mikoani. Ameen!
Tulikukaba?walikuwa wakabaji tu
VP mzee babaTulikuwa waimbaji kwenye vigodoro.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Walikuwa wakuu wa mikoa.
Acha kutisha watu wewe kav.uWe fara nikikunaxa kichwachako ni halal yangu
Alonso kaambaliAcha kutisha watu wewe kav.u
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuladaku!!!wengi wao walikuwa wapiga kuladaku (daku kula) na vibaka kama walivyo wasanii wa bongo fleva.