Hivi hawa waimba Singeli huko nyuma walikuwa wanaimba nini?

Hivi hawa waimba Singeli huko nyuma walikuwa wanaimba nini?

Nauliza tu, maana kuanzia mwakajana kumeibuka utitiri wa vijana wanaoimba muziki huu, je kabla haujaaanza kutambulika mtaani walikuwa wanaimba nini, au walikuwa hawaimbi?
Huwezi kwenda mjini kama hujaulambaa[emoji443] [emoji445] [emoji443] bonge moja la singeli yani
 
Nauliza tu, maana kuanzia mwakajana kumeibuka utitiri wa vijana wanaoimba muziki huu, je kabla haujaaanza kutambulika mtaani walikuwa wanaimba nini, au walikuwa hawaimbi?

Mimi ninachojua tu ni kwamba kabla ya kuingia katika ' Singeli ' ndiyo walikuwa ' Vibaka ' wa Kutukuka katika Viunga vyote vya Jiji la Dar es Salaam.
 
Tungekuwa tunathamini vya kwetu kama tunavyothamini vya ulaya basi mchiriku,mnanda,vanga na segere ingekuwa mbali sana,mkuu kuna madogo huku kitintale wanapiga vigoma vya hatari,tatizo muziki wenyewe unaimbwa na wa huni na umekaa kihunihuni
Aisee sijawahi uelewa huo muziki
 
Ee Mungu, muweza wa yote, asante kwa kuifanya singeli ibakie Dar es salaam japo upepo wa fiesta ulitaka kuieneza hata huku bara, Bwana tunakushukuru kuwalinda watoto wetu na aina hii ya muziki ambao wavulana wanabinua tu-makalio kama ngedere usifike huku mikoani. Ameen!
We fara nikikunaxa kichwachako ni halal yangu
 
Back
Top Bottom