Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

Dah..Mkandawile mzee Wa PUGU....unatoka mkoani kuja kupiga Chemia Dar!ukirudi na notes za Mkandawile we ni mfalme....kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!ndani ya Tabora School...bweni la Sina!nikapiga banda langu na Chemia na ma B mengine...bila ushauri nikajikoki MUHAS kujilipua na Dental...hata mwaka haukuisha kama naugua vilee..kumbe ndo nahairisha!huyoo BAF
 
dah..mkandawile mzee wa pugu....unatoka mkoani kuja kupiga chemia dar!ukirudi na notes za mkandawile we ni mfalme....kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!ndani ya tabora school...bweni la sina!nikapiga banda langu na chemia na ma b mengine...bila ushauri nikajikoki muhas kujilipua na dental...hata mwaka haukuisha kama naugua vilee..kumbe ndo nahairisha!huyoo baf
taabora school kichwa cha tanzaniaa
 
Dah..Mkandawile mzee Wa PUGU....unatoka mkoani kuja kupiga Chemia Dar!ukirudi na notes za Mkandawile we ni mfalme....kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!ndani ya Tabora School...bweni la Sina!nikapiga banda langu na Chemia na ma B mengine...bila ushauri nikajikoki MUHAS kujilipua na Dental...hata mwaka haukuisha kama naugua vilee..kumbe ndo nahairisha!huyoo BAF

Kwa chemistry organic sio muchezo.mkandawile
 
Huyu jamaa (Mkandawile) alikuwa jembe letu la ukweli sana pale Pugu.
Sijui yuko wapi sasa hivi?
 
taabora school kichwa cha tanzaniaa

"Jinalo we kote linatajikaa..hapa alisomeshwa Baba yetu wa Taifa,Tabora School kichwa cha Tanzaniaaa"...dah umenikumbusha mbali sana!!hapo napiga msuli wa Chemia chini ya mwembe,huku nawaza disko na Tabora Girls!au kwenda Tukutuku!
 
Mkandawile nilisikia alikopa bankwaa pesa akaanzisha shule huko huko maeneo ya pugu, kashindwa kulipa deni akanyang'anywa na bankwaa.
 
"Jinalo we kote linatajikaa..hapa alisomeshwa Baba yetu wa Taifa,Tabora School kichwa cha Tanzaniaaa"...dah umenikumbusha mbali sana!!hapo napiga msuli wa Chemia chini ya mwembe,huku nawaza disko na Tabora Girls!au kwenda Tukutuku!
Mwaka gani umemaliza tabora,rafiki zangu kibao walisoma hapo
 
Dah..Mkandawile mzee Wa PUGU....unatoka mkoani kuja kupiga Chemia Dar!ukirudi na notes za Mkandawile we ni mfalme....kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!ndani ya Tabora School...bweni la Sina!nikapiga banda langu na Chemia na ma B mengine...bila ushauri nikajikoki MUHAS kujilipua na Dental...hata mwaka haukuisha kama naugua vilee..kumbe ndo nahairisha!huyoo BAF
Kumbe na weye MBOIZIA...wazee wa tukutuku...aisee mie nilikua BWENI KUU Ruhinda kule juu...tulikua tunasumbuana na MZEE MADUKA kuamshana asubuhi....
-----------------------------------------------------------------------------------------------
BACK TO TOPIC
Mkandawile long time sana sijamsikia sijui uzee unamtesa au ndio tena vijana wameshamzidi.....
 
Mkanda wile . Mtaalamu wa Chemistry alikuwa anatufundisha chemistry Tuion Makongo ,jamaa alikuwa anatembea na picha wa Mke wake, jamaa alikuwa safi sana. namkumbuka sana huyu jamaa , vijana waliomaliza Kigonsera mwaka 2004 wlifauru vizuri chemistrty kupitia Notes za huyu jamaaa.

mwishoni alikopa pesa bank ya CRDB Shs. milion mia tano.
akaanzisha shule ya sendary Maeneo ya Pugu Shule yake ilikuwa inaitwa VICTORY HIGH SCHOOL , kadri siku zinakwenda alishindwa kuiendesha ile shule kiasi hata akashindwa kuwalipa mishahara walimu wake. Baadaye akakimbia sijui alikimbilia wapi Then benk ikaja kumpokonya ile shule. Mpaka hapo sijui kilichoendelea. Namkumbuka sana Jamaa. na lugha yake ya Kra,kra akitengeneza bond ya organic Compound.

S mwenye taarifa naye zaid atujuze.
 
Hivi Bado wanafundisha ?

Dah! Umenikumbusha huyu Mkandawile, alikuwa anatufundisha tuition ya Chemistry Mtendeni mwaka 2001 mpaka 2002.. Darasa lilikuwa linajaa mpaka tunashindwa kupumua.. Saa ya kuingia class tulikuwa tunagombania utadhani wakazi wa Mbagala wanavyogombania daladala. Hahahaaa..Mkanda boy! Yaani hata mi sijui kwa sasa yuko wapi, umenikumbusha mbaali sana.
 
Kumbe na weye MBOIZIA...wazee wa tukutuku...aisee mie nilikua BWENI KUU Ruhinda kule juu...tulikua tunasumbuana na MZEE MADUKA kuamshana asubuhi....
-----------------------------------------------------------------------------------------------
BACK TO TOPIC
Mkandawile long time sana sijamsikia sijui uzee unamtesa au ndio tena vijana wameshamzidi.....

Umemsahau MWL.MADAFU kuamshana saa9 usiku na kunyoana vipara?
 
Mkandawile, busanji, na babu wa chemistry wa pugu. 2001 kazi ilikuwa kubwa hasa pale mnazi mmoja

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Mama shida mahmet alikuwa anamleta Feza amwage utilio,, alikuwa anaogopa vijana walivyokuwa fiti na kwa hasira alipigiwa mabanda kwenye necta hadi akashika kichwa vijana wanatisha... Ha ha ha Mkata Kiu nimeguswa na hii kitu japokuwa sikuweka Banda form 6 but Mama shija ni mzuri sana
 
huyu mama shija ni yule wa kemia tambaza in 80's and early 90's?? then akahamia sijui mzizima or shaban robert?
 
dah kwa kweli wengi tulimfaidi sana mwalimu mkandawile directly or indirectly.

Japo sikuwahi kuhudhuria tuition class yake lakini niliweza kusoma notes za waliohudhuria na kwa kweli niliangusha banda langu la kemia

Mimi hata sijawahi kumuona japo jina lake ni maarufu sana. Natamani japo kumuona

all the best mkandawile popote ulipo hakika umewainua na kuwavusha vijana wengi. Mungu akubariki popote ulipo in your life
 
Back
Top Bottom