Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Kuna uhaba wa vyumba na condomSio zimejaa tu, wanapigana miti hatari.. wanatumia resources Ile kina mbayaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uhaba wa vyumba na condomSio zimejaa tu, wanapigana miti hatari.. wanatumia resources Ile kina mbayaaa
Uhaba wa condom ni mkubwa sana, ila wanatumia lubricants na mate.. hakuna kupoa via vya uzazi vinafanya kazi kisawa sawa 😅😅Kuna uhaba wa vyumba na condom
Twapunguza kwa miradiGharama za kuwasafirisha, hoteli, posho kwao jumla ni mabilioni
Tutegemee "umeme" kuwa mwingi mno, pia magonjwa ya ngono, uti sugu na mimba kuongezeka. Pia kutokana na uhaba wa vyumba, watu wanakulana kwenye magariUhaba wa condom ni mkubwa sana, ila wanatumia lubricants na mate.. hakuna kupoa via vya uzazi vinafanya kazi kisawa sawa 😅😅
Mabilioni yanateketea 🤣Twapunguza kwa miradi
Kwo mwanangu temu hii bei ya ndomu itapanda sanaSio zimejaa tu, wanapigana miti hatari.. wanatumia resources Ile kina mbayaaa
Kodi zetu zinakwenda kuita wasanii katika mkutano wa chama imagine. Wanatumia magari na gharama za wananchi kwa kila kitu halafu watu wanapiga makofi mitano tena. Nchini kwetu umeme Shida,maji Shida, afya na miundo mbinu yake Shida, barabara mbovu, kila kitu hovyo . Angalia Rais wa Burkina Faso katulia kijana wa watu Hana mbwembwe yeye kazi ndiyo inamtambulisha. Hawa wetu wamejaa anasa tu. Mungu wachukue Hawa tupate wengineSioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Duh eti threesomesHuko sahv kuna madalali wa mademu 😅maboss yanagombania bunyero wengne wanapiga three some
Kwani watu wanatumia ndoa siku hizi ?Kwo mwanangu temu hii bei ya ndomu itapanda sana
Msiponipigia kura hamtapanda ndege yangu mpya.Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Hainashida, pesa za serikali zipo.Gharama za kuwasafirisha, hoteli, posho kwao jumla ni mabilioni
Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Hakuna mwenye AKILI kwenye kundi la wasanii walioenda Dodoma ukiwa mtu mwenye AKILI TIMAMU kabisa,utaelewa kuwa CCM imeoza kama wasanii wenyewe walivyo oza,wasanii ni kama nzi wanaofuata mahali pachafu.Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Mwana FA ndo anajua wanafanya nini hukoSioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
EXACTLY, "the END results justifies the means"Kampeni mkuu