Hivi hawa wasanii wa bongo kwenye mkutano wa CCM kazi yao kubwa ni nini?

Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
N J A A I N A W A S U M B U A
Wanatafuta Teuzi, Na Mambo Ya Uchawa Tele
 
kwan mama watch100 si yule nae ni muigzaj
 
Kazi yao kubwa ni kujipendekeza kwa wakubwa ili na wao waanze kutisha watu na wao wenyewe kujiona ni wakubwa pia kumbe wenzao wanawachukulia kama toilet paper tu.
 
Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Kupiga pesa
 
Wanawaunga mkono wasanii wenzao. Hawa ni wasanii wa njaa na wale wa CCM ni wa kisiasa. Zote ni sanaa za kuibia waathirika na kunga'ng'ania madaraka ili kuendelea kula dezo. Unachezo na ulaji wa dezo wewe mwanangu?
 
Kusikiliza sera za CCM na ripoti ya utendaji wa CCM kwenye ilani ya CCM ya kipindi kilichopita na kijacho vipengele vinavyowahusu wao kama wasanii kuwa serikali ya CCM imewafanyia nini na itawafanyia nini?

Mambo ambayo huko Chadema hayako hoja ni ohhh Mbowe must go wajinga nyie hamna sera ya mkutano mkuu wenu
Sasa hao wasanii wana akili kweli ya kudadavua hizo sera za ccm kwa umma tukaelewa?
 
Hakuna mwenye AKILI kwenye kundi la wasanii walioenda Dodoma ukiwa mtu mwenye AKILI TIMAMU kabisa,utaelewa kuwa CCM imeoza kama wasanii wenyewe walivyo oza,wasanii ni kama nzi wanaofuata mahali pachafu.
Nimeshangaa kuona eti Doto magari nae ni mualikwa.ccm wanafurahisha sana watu walionuna
 
Dawa ni nyie kususia kazi zao tu

Maana nyie mnaowafatilia mnawapa promo tu

Ova
 
N J A A I N A W A S U M B U A
Wanatafuta Teuzi, Na Mambo Ya Uchawa Tele
Sasa mtu kama Doto magari nae anasubiri uteuzi kwenye nafasi gani haswa atakayoimudu?
 
Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Mashabiki wao wakiwafuatilia wanaona na yale ya chama
Ni kama ukitazama ugali ni lazima uone ilipo mboga
 
Wanazongea zongea buyu la asali. Wanaweza kuambulia hata matone matone maana limejaa pomoni.
 
Back
Top Bottom