Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Kuna kipindi nilikuwa nikisikiliza radio hukosi simu au message za hawa watu katika kipindi chochote;

1. Mwalimu Kennedy mpemba kutoka Kahama hasa kwenye DW
2. Hamisi full migebuko kutoka kigoma
3. Daudi wa kota
4. Salma Msangi kutoka Dodoma
5. Kuna mwingine Filbert japo jina la mwisho nimesahau hutuma sana DW
 
Maisha ya wabongo ni connection hadi redioni. Hao asilimia kubwa wanafahamiana na hao Watangazaji, hivyo inakuwa rahisi sms au calls zao kuonwa. Tena unakuta wanatumiana sms kwenye private namba hivyo inakuwa rahis kwa mtangazaji kuziona.

Jiulize, inakuwaje sms au calls zao tu ndio zinaonekana kila siku wakati wanaopiga na kutuma sms ni wengi!
 
Filbert kyauke wa mlandizi

Zakaria ndemfoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…