Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

Du basi wapo njema kweli wanamapenzi mema
Hizo ni Salamu Club zipo tu na hao unaowasikia ni members tu kuna mmoja anaitwa Kelvin Blaston Baba Yake na Neli Shujaa anaewakilisha Wazee wa Pamba na Cheni Nyingi shingoni anapatikana chini Jengo la Benjamin Mkapa pale Posta Mpya ukitaka kijiunga na hizo Salamu Club hata wewe unaweza kujiunga hua wanaacha namba zao

Ni wachingiaji km wewe unavyochangia comments JF unalipwa na Maxence Melo au unafanya kwa mapenzi tu?
 
Maisha ya wabongo ni connection hadi redioni. Hao asilimia kubwa wanafahamiana na hao Watangazaji, hivyo inakuwa rahisi sms au calls zao kuonwa. Tena unakuta wanatumiana sms kwenye private namba hivyo inakuwa rahis kwa mtangazaji kuziona.

Jiulize, inakuwaje sms au calls zao tu ndio zinaonekana kila siku wakati wanaopiga na kutuma sms ni wengi!
Kwa faida gani Sasa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna kipindi nilikuwa nikisikiliza radio hukosi simu au message za hawa watu katika kipindi chochote;

1. Mwalimu Kennedy mpemba kutoka Kahama hasa kwenye DW
2. Hamisi full migebuko kutoka kigoma
3. Daudi wa kota
4. Salma Msangi kutoka Dodoma
5. Kuna mwingine Filbert japo jina la mwisho nimesahau hutuma sana DW
Wengine Ni
1.Lenga chapati
2.Edward Kabamba wa Dumila Morogoro zamani alikuwa anasema anatoka Haidom Manyara
3. Ali More Ali More mpiga picha maarufu
4.Mbugujo Mwasengo kutoka Tanga
5. Elias Sultan Nzowa kutoka boda ya wajanja Tunduma
6. Ustadhi SabaaaSabaaa kutoka Katandala B SUMBAWANGA.
7.Mama Pendo
8. Vumi lalata kutoka Mbozi
9.Sikujua Ilanga Msukwa
10. Emmauel Malango kutoka Kalalo Tukuyu Mbeya.
 
Maisha ya wabongo ni connection hadi redioni. Hao asilimia kubwa wanafahamiana na hao Watangazaji, hivyo inakuwa rahisi sms au calls zao kuonwa. Tena unakuta wanatumiana sms kwenye private namba hivyo inakuwa rahis kwa mtangazaji kuziona.

Jiulize, inakuwaje sms au calls zao tu ndio zinaonekana kila siku wakati wanaopiga na kutuma sms ni wengi!
Sio kweli Mimi mwanzo nilikua na mtazamo km wako nikasema ngoja nianze kutuma meseji, usichokijua wale watangazaji wanapenda new members kuliko unavyodhani nikatuma ujumbe nilihisi hautasomwa eeeh si aliporudi kwenye tangazo ujumbe wa kwanza kusomwa ulikua wa kwangu, kwa hio hawachagui majina wewe ukitaka andika tuma watasoma tu
 
Wengine Ni
1.Lenga chapati
2.Edward Kabamba wa Dumila Morogoro zamani alikuwa anasema anatoka Haidom Manyara
3. Ali More Ali More mpiga picha maarufu
4.Mbugujo Mwasengo kutoka Tanga
5. Elias Sultan Nzowa kutoka boda ya wajanja Tunduma
6. Ustadhi SabaaaSabaaa kutoka Katandala B SUMBAWANGA.
7.Mama Pendo
8. Vumi lalata kutoka Mbozi
9.Sikujua Ilanga Msukwa
10. Emmauel Malango kutoka Kalalo Tukuyu Mbeya.umeti
Umetisha halaf wanasamianaga wenyewe kwa wenyewe
 
Wengine Ni
1.Lenga chapati
2.Edward Kabamba wa Dumila Morogoro zamani alikuwa anasema anatoka Haidom Manyara
3. Ali More Ali More mpiga picha maarufu
4.Mbugujo Mwasengo kutoka Tanga
5. Elias Sultan Nzowa kutoka boda ya wajanja Tunduma
6. Ustadhi SabaaaSabaaa kutoka Katandala B SUMBAWANGA.
7.Mama Pendo
8. Vumi lalata kutoka Mbozi
9.Sikujua Ilanga Msukwa
10. Emmauel Malango kutoka Kalalo Tukuyu Mbeya.
Umemsahahu Nyamihela mwingine ni marehemu Babu Shayo huyu yeye alikua akianza kuongea hamalizi kwanza anaanza na utambulisho utachoka anasema unaongea na Baaaaaaabu Shaaaaayo Baaaabu Shaaaaayo, buhahaha
 
Umetisha halaf wanasamianaga wenyewe kwa wenyewe
Sababu ni Salamu Club lazima usalimie members wa kwenye Club yenyu ushaelewa, wale wapo kwenye Salamu Club kwa hio husalimiana wao kwa wao mfano Mimi humu JF siwezi kumsalimia mtu ambae hayupo humu mfano naweza nikamtag Nakubusu au Dr. Mariposa au masai dada Ila siwezi kumtag February Marope sababu hayupo JF
 
Io salamu club inawafaidishaje?
 
Halaf kuna Ali mrangi gigiri huyu nae kila siku yupo kwenye daladala akielekea mabibo cjui hafikagi?
Kuna mwingine Jina limenitoka yaan yeye akianza kuongea anasema Halo Halo Halo Halo Halo kwa sauti ya kukwaruza kwaruza utazani redio inapoteza frequency kumbe ni sauti ya mtu, pia kuna yule mama yupo Mkuranga Sheli ya Njano jina limenitoka pia kuna mwingine amevuma mpaka akachukuliwa kwenye kipindi Cha Radio kabisa Tena alianzia mtaani tu kuponda ponda kero sasa akachukuliwa km expert wa Mambo ya mtaani Clouds hao walimchukua anaitwa Zai
 
Kuna kipindi nilikuwa nikisikiliza radio hukosi simu au message za hawa watu katika kipindi chochote;

1. Mwalimu Kennedy mpemba kutoka Kahama hasa kwenye DW
2. Hamisi full migebuko kutoka kigoma
3. Daudi wa kota
4. Salma Msangi kutoka Dodoma
5. Kuna mwingine Filbert japo jina la mwisho nimesahau hutuma sana DW
Daudi wa kota aliajiriwa kabisa pale cloud
 
Io salamu club inawafaidishaje?
Si wanaungana wenyewe tu kuendesha umoja wao, kwani vikundi vilivyopo mtaani vinasaidia nini mfano kikundi Cha bodaboda ambao kwa siku wanachanga 5000 kila mmoja na kila mwisho wa mwezi mmoja anachukua pesa, kikundi hicho kinawasaidia nini?
 
Back
Top Bottom