Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Hapana, ni mtu halisi. Najuane naye. Uso wake ni kama ilivyo picha kwenye profile yake. Ni muugwana sana!Usikute ni robot hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, ni mtu halisi. Najuane naye. Uso wake ni kama ilivyo picha kwenye profile yake. Ni muugwana sana!Usikute ni robot hilo.
Ni Zainab Aziz, si Rajabu. Huyo mwingine kwa usahihi jina lake ni Oumilkheir Hamidou. Alishastaafu baada ya kutangaza DW kwa takribani miaka 42!Padre Moshi wa Kotela Mamba Kilimanjaro anasema , Enyi Ukraine na Urusi kaeni muyamalize kwani wanaoumia ni raia wasio na hatia.
Ali Mrangi Gigiri wa Kondoa Dodoma kwa sasa nipo safarini Manyara ,
Wajadi fundi wa jadi binadamu Mashaka na mke wake..
Ukitaka kufurahia haya majina lazima mtangazaji awe Tatu Karema au Zainabu Rajabu na Umil Kheir kutoka Bönn
Sawa ndugu Gwappo Mwakatobe nakufuatilia Sana kule DW hasa Meza ya duara...Ni Zainab Aziz, si Rajabu. Huyo mwingine kwa usahihi jina lake ni Oumilkher Hamidou. Alishastaafu baada ya kutangaza DW kwa takribani miaka 42!