Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

Manka mushi
Jumanne sebarua tingisha
Muhiri obare (naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
Asante mkuu wewe kweli mkongwe. Muhiri Obhare ndani ya RFA
 
Mtangazaji : haloo kwenye line, nani mwenzangu?

Mpiga simu: Mohiri Obare

Mtangazaji : oooh Mohiri Obare?

Mpiga simu : Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Unaongea na Mohiri obare Chacha kung'ombe sijui ninini huko... [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Jamaa aliitisha.
 
Padre Moshi wa Kotela Mamba Kilimanjaro anasema , Enyi Ukraine na Urusi kaeni muyamalize kwani wanaoumia ni raia wasio na hatia.

Ali Mrangi Gigiri wa Kondoa Dodoma kwa sasa nipo safarini Manyara ,


Wajadi fundi wa jadi binadamu Mashaka na mke wake..

Ukitaka kufurahia haya majina lazima mtangazaji awe Tatu Karema au Zainabu Rajabu na Umil Kheir kutoka Bönn
 
Kuna mwingine baba Nurat mfuga njiwa yaan huyu karibu redio zote yupo na vipindi vyote yupo sijui wanafanya kazi mda gani,mesej wanaandika mda gani yaan wako faster balaaa
Labda wana wasaidizi wao kutuma meseji
 
Umemsahahu Nyamihela mwingine ni marehemu Babu Shayo huyu yeye alikua akianza kuongea hamalizi kwanza anaanza na utambulisho utachoka anasema unaongea na Baaaaaaabu Shaaaaayo Baaaabu Shaaaaayo, buhahaha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watu kwa nature ya kazi zao basi husikiliza redio muda mwingi, ndo hao huwa wanatuma hizo salam.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kipindi nilikuwa nikisikiliza radio hukosi simu au message za hawa watu katika kipindi chochote;

1. Mwalimu Kennedy mpemba kutoka Kahama hasa kwenye DW
2. Hamisi full migebuko kutoka kigoma
3. Daudi wa kota
4. Salma Msangi kutoka Dodoma
5. Kuna mwingine Filbert japo jina la mwisho nimesahau hutuma sana DW
Hobbies za watu izo 😺😺😺

Bila kuwasahau watuma salamu wote maredioni..😊☺️😂😂😅😅🤣🤣🤣
 
Full migebuka, Daudi wa Kota na Salma msangi ni zaidi ya miaka kumi (10) nawasikia wakitajwatajwa redioni hasa Clouds!... baadae Daudi wa Kota walimpa kazi hapo mawingu kama mtaalam wa tehama, taarifa na mawasiliano kwa ujumla, yaani (I.C.T)
 
Kuna watu kwa nature ya kazi zao basi husikiliza redio muda mwingi, ndo hao huwa wanatuma hizo salam.
Niite Frank Amosi, Frank Amosi Sababu Babaake na Neli, Mimi ni Mwenyekiti wa Chama kubwa la Wazee wa Pamba na Macheni Mengi Shingoni, nazungumza kutoka chini Jengo kubwa la Benjamin Mkapa hapa Posta Mpya

Salamu zangu za kwanza zieende kwako wewe hapo mtangazaji, nakwambia mtangazaji endelea kututangazia vizuri

Salamu zangu za Pili salamu zangu za Pili zimfikie Mzee Kingai Mzee Kingai akiwa Kitunda Soko la Matunda namwambia mkuu mkuu tupo pamoja sana usiache kukamata laini

Salamu zangu za tatu salamu zangu za tatu ziende kwa Maiko Japhet Maiko Japhet huyu ni Katibu wa Chama kubwa la Wazee wa Pamba na Macheni Mengi Shingoni, akiwa pale Soko kuu Kariakoo namwambia mkuu tupo pamoja sana

Salamu zangu za nne salamu zangu za nne zimuendee Papa Amosi Mwakupapula huyu ni pacha wangu kabisa akiwa anawakilisha vilivyo Chama kubwa la Wazee wa Pamba na Macheni Mengi Shingoni, namwambia mkuu Papa Amosi tupo pamoja
 
Filbert Kenshambi yupo kila kipindi iwe michezo, siasa au mambo ya Ukraine hakosekani.
Ni kweli, nami namsikia sana huyo Filbert Kenshambi. Nafikiri naye ananisikia kupitia kipindi cha Maoni Meza ya Duara ya saa 7 mchana, Jumamosi. Ila sishiriki vipindi vyote vya kuchambua mambo mbalimbali ya kimataifa.
 
Kuna kipindi nilikuwa nikisikiliza radio hukosi simu au message za hawa watu katika kipindi chochote;

1. Mwalimu Kennedy mpemba kutoka Kahama hasa kwenye DW
2. Hamisi full migebuko kutoka kigoma
3. Daudi wa kota
4. Salma Msangi kutoka Dodoma
5. Kuna mwingine Filbert japo jina la mwisho nimesahau hutuma sana DW
Kuna mmoja anaitwa Edward Kabamba kutoka Idom- Manyara.
 
Back
Top Bottom