balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Filbert Kyenshambi kutoka Nshamba Muleba KageraKuna kipindi nilikuwa nikisikiliza radio hukosi simu au message za hawa watu katika kipindi chochote;
1. Mwalimu Kennedy mpemba kutoka Kahama hasa kwenye DW
2. Hamisi full migebuko kutoka kigoma
3. Daudi wa kota
4. Salma Msangi kutoka Dodoma
5. Kuna mwingine Filbert japo jina la mwisho nimesahau hutuma sana DW