Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

😂😂😂🤣🤣anamfundisha namna ya kuwahi nafasi kwenye media
aisee ,hawa wa kutuma sms sishangai sana mana ni rahisi ukiwa unajua ratiba za vipindi kwenye radio tofauti tifauti kazi yako ikawa ni kutuma tuh na wala husikilizi ivyo vipindi
 
aisee ,hawa wa kutuma sms sishangai sana mana ni rahisi ukiwa unajua ratiba za vipindi kwenye radio tofauti tifauti kazi yako ikawa ni kutuma tuh na wala husikilizi ivyo vipindi
Mm nawasiwasi wanakagroup kawasap watuma kwenye group wamewaadd watangazaji wanawasoma tu
 
Mzee wa mashairi, bi shangazi, mwalimu wa sunday school, hao ni vigumu kuwakosa kwenye hoja za kijamii
😁😁😁😁 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Hawakosekani , kuna mzee mmoja ana pengo na jamaa ana lafudhi ya kihaya.. Huwa wanajadili kwa jazba 😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio kila siku asubuhi mchana na jioni mwaka wa 4 huu Namsikiaga ivo ivo 😁😁

Txt yake km kaisave sehemu huwaga anacopy na kupasta
Huwa nakiuliza Ina maana muda wote anasikiliza radio au!
 
Manka mushi
Jumanne sebarua tingisha
Muhiri obare (naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
Mtangazaji : haloo kwenye line, nani mwenzangu?

Mpiga simu: Mohiri Obare

Mtangazaji : oooh Mohiri Obare?

Mpiga simu : Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Unaongea na Mohiri obare Chacha kung'ombe sijui ninini huko... [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom