Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

Labda ni unawachunguza wachunguzaji?
😁😁😁
Sikuwa serious bro Ila naelewa watu wanapambana kwenye hizo platforms ili waonekane na watu flani watakaoweza kuwavusha.. More of a branding strategy sawa na wale wabobevu wa sekta flani wanapokuwa hawakosi kwenye kila jukwaa linaloendana na wanachokifanya πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Kuna yule wa Masasi anajiita Dereva Bajaji..

Ni kupenda sifa tu Mkuu.
 
Watu wanapayroll kukaa pale kila wiki😁😁 system ile
 
Kuna mwingine baba Nurat mfuga njiwa yaan huyu karibu redio zote yupo na vipindi vyote yupo sijui wanafanya kazi mda gani,mesej wanaandika mda gani yaan wako faster balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…