Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Maandano si kwa ajiri ya wanaume walio left group/walio saliti njisia zao.Basi kama Kila mtu anapigwa tuwaache ccm waendelee kuongoza kumbe huwa mnapinga ilimradi mmepinga kumbe ccm wanaongoza vizuri ila ni ulafi wenu wa madaraka octoba 29 nalala
Mwanaume kuogopa kupigwa basi kupakatwa ni jambo la sekunde tu.Ingieni wenyewe chadema barabarani siku hiyo sisi hatuna huo mda wa kufa kwa ajili ya chadema na lissu washike dola hao ccm wakivurunda sisi kama wananchi tusio na chama tutaingia barabarani kuwatoa hapo lakini sio kushurutishwa na walafi wa madaraka chadema hiyo haipo kapigweni marungu peke yenu na mlivyokua hamna ushirikiano plus uoga kazi mnayo
We ndio umeleft ndio maana umeandika mmeo akifa usiolewe Ili kumuenzi mmeo jinsi Gani unavyotangazaa ushoga Hadi kwenye jina lakoMaandano si kwa ajiri ya wanaume walio left group/walio saliti njisia zao.
Maandamo ni kwa ajiri ya wanaume na wanawake wenye uchugu na nchi yao haijarishi ameyatangaza polepole au Lissu.
WEWE UTALALA UKIMSUBIRI MMEO AKULETEE MKATE HUKU FUTA LIKIWA KARIBU....WANAUME TUKIPAMBANIA NCHI YETU.
Kumbe wewe umeshapakatwa pole sanaMwanaume kuogopa kupigwa basi kupakatwa ni jambo la sekunde tu.
Mwanaume anapopambania haki yake haogopi kupigwa wala kufa!LIWALO NA LIWE!!
Una D ngapi mkuu?Naombeni kueleweshwa wakuu
Kama huoni nchi imeharibika basi haya maandamano ni ya CHADEMA lakini kama unaona nchi imeharibika na jukumu la kuikomboa ni lako basi wanaohamasisha ni wananchi kama wewe hayo mengine ni visingizio tu.Unajua kuna jambo silielewi. Haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana kila sehemu hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu
Ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee
Naomba tueleweshane kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo
we ukijiskia kutoka we tokaUnajua kuna jambo silielewi. Haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana kila sehemu hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu
Ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee
Naomba tueleweshane kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo
Kamsikilize kapten Tesha kwanzaMange kimambi muanzilishi wa haya maandamano kichwa kumtaja lissu mwenyekiti wa chadema
Yupo mwingine kamtajaMange kimambi alienzisha hii ishu Kila siku anasema lissu aachiwe kama ajenda unafikiri watanzania wajinga sio
Kubwa jinga wewe hata sisi hatuhitaji, baki ndani siku hiyo una msaidi mkeo kufua chupi zake huku ukiwasapoti polisi.Tushastuka hayo ni ya chadema nendeni wenyewe mkapigwe marungu na mlivyokua waoga msiokua na ushirikiano
Umesikia captain Tesha kasemaje leo we ndugu mwenye ubinafsi? Unadhani hata tukiandamana kwa ajili ya Lissu sio kuipigania Tanzania? Kwani Lissu kakamatwa kwa mashitaka ya kweli? Acha ubinafsi 29.10 ni mwanzo wa Tanzania mpya kwa wote!Andamaneni peke yenu kumbe mpo Kwa ajili ya chadema na si nchi shenzi Bora nilale sio kufa Kwa ajili ya wajinga ingekua kufia nchi sawa ila sio chadema Bora nimegundua mapema Hilo lenu sisi wananchi siku yetu ya barabarani itakuja tu kama tulivyoshughulika na mwendokasi