Hata wanaouza bado hayaendiKama kwako maisha yanaenda bila kuuza dodoki, mshukuru mungu.
😂😂😂Dada...unajua kwa maelezo ya mtu unaweza mjua ni kamtu ka aina gan..wew hata biashara hujawai fanya kwahyo hutakiw kutoa statement yoyote..narudia tena watu tuna mitaji mpaka ya mil50 kwwnye hayo mabanda ..acha dharau...umeona mil50 nying eeh
Unahis vibanda vile vya kuuza accesories za sim na simu mbezi mwisho tandika tegeta ni vya kina nani....ni vya sis wananchi..unahis mabanda yale kama maduka unanunua mahitaj yako kila siku unahis ni vya kina nan.ukienda kkoo ukakuta machinga wana mavyombo ya samani wametandaza barabaran unahis mzigo wanatoa wap...na kama hujashtukia umuhimu wa kuwa machinga bas utachelewa snaa.siku hiz mtu ana store yake ya mzigo wa mil20 ..anaenda mkoan anatafuta vijana wanakuja dar anawapangia chumba wanakua wanamtembezea mzigo had unaisha...halip kodi.halipi nin..wee unaongea nin m.pumbav hujui chochote..mtu ana mabanda 10..kila banda mtaj wa 4mil...anatumia kitambulisho cha magufur analipa elf20 kwa mwaka ..utamwambia nn..kaen hvyo hvyo kwa kutegemea hela za kudanga.wenzenu wanapambana...
Umeongea point sana mkuu,Hawa wapumbavu wanasahau kuwa tanzania ni kati ya nchi masikin sana dunian..wanataka turuke hatua tuwe kama paris or wateva..kitu ambayo haiwezekan..haya mambo huwa yanakuja automaticaly...machinga wanakuja automaticaly...huwez anza kataza au fukuza machinga kwenye nchi masikin kama hii....hawa jamaa wabishi kwenye huu uzi achana nao weng ni graduate ambao bado wako nyumban na hawajajitambua kuwa maisha ni mapambano makali..wanakula ugali home tu...na hawajui kuwa hayo mabanda kuna wtu wamewekeza pesa nying..wao wakipita wnaachkulia poa. Kuna watu wanaingiza mamilion kwenye hayo mabanda..waende waulize
Kwaio bora pachafuke kwasababu kuna mtu toka amemaliza chuo kikuu miaka kumi imepita hajawahi kushika laki 5? Wanatakiwa watengewe sehemu zao watu wakawafate huko hilo walipoUkiwa unakula bure au amemaliza tu chuo na kupata ajira huwa mnaona Maisha rahisi Sana na unakuja na viushauri vya kipuuzi na unasahau kuwa Kuna wenzako toka wamalize chuo hawajapata hata laki tano na imeshapita miaka kumi.
Huku tunakotafuta ridhiki Kuna Mambo mengi Sana nakushauri inakusaidia nini kupendeza usoni wakati huna uhakika wa Kula. Pakishapendeza hapo Morocco panawasaidia nini walala hoi .Acha ujinga Watu wanaishi maisha duni Sana na wanatafuta wateja popote walipo wamuuzie angalau hata pipi na karanga ili apate faida ya kupata kununua unga ale na wanae.
Siku ukimuona mama kabeba mtoto mgongoni na kajitisha beseni anauza mihogo au dizi ujue huyo anatafuta hela ya Kula tu siyo kufanikiwa. Acha dharau kwakuwa hujawahi lala njaa waliwahi kusota ndiyo waliowaruhusu hao Watu wafanye biashara maana wanajua nini maana ya njaa.
Kwahiyo we mwenye akili ndo umeona solution ni kuwaacha wavamie barabara zilizojengwa kwa gharama ya Mabilioni? Matope kabsa.Akili ndogo elimu ya kukariri inakusumbua. Mtu mtaji wake Elfu 20 unataka akodi fremu milioni moja ya bei nafuu laki moja .Halafu unajiita Msomi sijui huwa mnafanya Nini huko shule!!!?
Hahah sawa...nmegundua na chat na mdangaji thats y nmeamua kuku ignore[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndo hujui biashara hata tone.
Usitake kudanganya kwamba kuwa machinga is the next big thing. Kuziba njia za watu kutembea kwa miguu is not the next big thing. Hakuna kitu kama hicho hatuwezi kuwa machinga nchi nzima na hii fad itapotea fasta tuu. Haina kitu inayoitwa sustainability.
Unaonekana mjinga mjinga tu wale watu wa story za vijiweni. Utadanganya watu wote kasoro wenye akili zetu na tunaojua kusoma na kutabiri mienendo ya uchumi.
Mwisho wa siku hizi mbwembwe zote zikiisha atakaepata shida zaidi ni machinga.
Sawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndo hujui biashara hata tone.
Usitake kudanganya kwamba kuwa machinga is the next big thing. Kuziba njia za watu kutembea kwa miguu is not the next big thing. Hakuna kitu kama hicho hatuwezi kuwa machinga nchi nzima na hii fad itapotea fasta tuu. Haina kitu inayoitwa sustainability.
Unaonekana mjinga mjinga tu wale watu wa story za vijiweni. Utadanganya watu wote kasoro wenye akili zetu na tunaojua kusoma na kutabiri mienendo ya uchumi.
Mwisho wa siku hizi mbwembwe zote zikiisha atakaepata shida zaidi ni machinga.
Bila shaka wewe ulikuwa mgambo wa jiji sasa unataka upate tena kazi Mzee hiyo sahauKwahiyo we mwenye akili ndo umeona solution ni kuwaacha wavamie barabara zilizojengwa kwa gharama ya Mabilioni? Matope kabsa.
Oh wellHayo mabanda yakisafishwa mkaannza kukabwa mchana wa jua kali msije kulialia tena.