Hivi haya mabanda ya Machinga kila kona Dar wameshindwa kuyadhibiti?

.Weka miundombinu ya umwagiliaji kila mahali na sio kuachia mito imwagike bure maji baharini.
.Fungua mipaka ruhusa watu wauze watakapo nchi yeyeto hata akitaka mbinguni sawa.
.Ondoa ushuru kikwamisho
.Leta wataalamu wa kilimo
.pembejeo rahisi kwenye kilimo.
Kukiwa na sera nzuri kwenye kilimo tutaoa ajira za watu milioni 45 wote Hawa wanaajirika kwenye kilimo,na kulimaliza kabisa tatizo la ajira nchini.Na utoona machinga mijini Kama kilimo kililipa.

Machinga ni zao la kushindwa kwao sera za ccm kuhusu Ajira.
 
Mbaya zaidi wamejenga pembezoni mwa barabara na baadhi ya maeneo wamesogea barabarani hadi kupita ni shida[emoji3525]

kwingine ambako hawajajenga vibanda wamepanga vitu chini, yani jiji limekosa kabisa mpangilio!
 
😂😂😂
Wewe ndo hujui biashara hata tone.
Usitake kudanganya kwamba kuwa machinga is the next big thing. Kuziba njia za watu kutembea kwa miguu is not the next big thing. Hakuna kitu kama hicho hatuwezi kuwa machinga nchi nzima na hii fad itapotea fasta tuu. Haina kitu inayoitwa sustainability.
Unaonekana mjinga mjinga tu wale watu wa story za vijiweni. Utadanganya watu wote kasoro wenye akili zetu na tunaojua kusoma na kutabiri mienendo ya uchumi.
Mwisho wa siku hizi mbwembwe zote zikiisha atakaepata shida zaidi ni machinga.
 
Umeongea point sana mkuu,
 
Kwaio bora pachafuke kwasababu kuna mtu toka amemaliza chuo kikuu miaka kumi imepita hajawahi kushika laki 5? Wanatakiwa watengewe sehemu zao watu wakawafate huko hilo walipo
 
Akili ndogo elimu ya kukariri inakusumbua. Mtu mtaji wake Elfu 20 unataka akodi fremu milioni moja ya bei nafuu laki moja .Halafu unajiita Msomi sijui huwa mnafanya Nini huko shule!!!?
Kwahiyo we mwenye akili ndo umeona solution ni kuwaacha wavamie barabara zilizojengwa kwa gharama ya Mabilioni? Matope kabsa.
 
Hahah sawa...nmegundua na chat na mdangaji thats y nmeamua kuku ignore
 
Hayo mabanda yakisafishwa mkaannza kukabwa mchana wa jua kali msije kulialia tena.
 
Sawa
 
Kwahiyo we mwenye akili ndo umeona solution ni kuwaacha wavamie barabara zilizojengwa kwa gharama ya Mabilioni? Matope kabsa.
Bila shaka wewe ulikuwa mgambo wa jiji sasa unataka upate tena kazi Mzee hiyo sahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…