HIVI HAYA MADUDE BADO YAPO ??


Siku zote game huteka sana akili...... bila kujali ni game la namna gani........ lilinisumbua sana hili dude hadi kuacha na kuhamia kwe magame ya computer..... kifupi ni kwamba usimzoeshe mtoto wako haya madude.... yanapoteza sana muda.
 
Hili game ni hatariii enzi izo tunapeana zamu so unakuta mtu anacheza anafika adi level za mbali nyie mnaishia kuwa wapenzi watazamaji.(kwa familia yetu mdgo wa mwisho ndio alikuwa analo)
 
Haya yakiwatawala watoto wako matokeo yake wanakuwa kama mazezeta.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi kuna madogo wa shule ya msingi niliwaona nalo, wamekaa kwenye kikundi wanalicheza...

Kipindi nikiwa secondary nikiwa hom sina mishe najifungia ndani nalipiga kimya kimya...
Secondary [emoji16][emoji16]ulchelewa mkuu..ilo la primary, seco unanaza na gameboy,gameboy advance na sp,unasogea sega pale by unaanza advance unajua atleast ps 2,sikuhizi ps 4

Sent using Brain
 
Mimi bado ni muhanga wa hili game nalicheza sana hadi leo, nikiwa free tu ofisin nalicheza hili nimelipakua kwenya simu !!
 
nimelicheza sana kuna mchezo flani wa kulipua ukifika level flani linakuja kubwa lao hahahahah mimi ndo nilikuwa mtaalamu wa kuliuwa kota nzima

wakicheza wakifika hapo wananitafuta niliue

bado yapo hata majuzi nililiona sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…