storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
View attachment 1061349
View attachment 1061349
Aisee hili dude nakumbuka mdogo wangu wa kike alikuwaga nalo na muda wote alikuwa analicheza muda wote yani. Lilikuwa linanikera na makelele yake, unakuta umelala usiku au unatafuta usingizi unasikia chumba cha pili, byu, byu, pyu. Kuna mhuni akapita nalo akaenda kuuza kwe wenzake huko shuleni, nilifurahi sana.
Siku zote game huteka sana akili...... bila kujali ni game la namna gani........ lilinisumbua sana hili dude hadi kuacha na kuhamia kwe magame ya computer..... kifupi ni kwamba usimzoeshe mtoto wako haya madude.... yanapoteza sana muda.