kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
Kulikuwa na mshikaji wangu enzi hizo sim hazijaja basi anakuwa busy nalo mpaka inaboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswa mimi nitatumia mbinu za kidikteta kupambana na hayo madude kwenye familia yanguHaya yakiwatawala watoto wako matokeo yake wanakuwa kama mazezeta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile sauti ya bwii bwii bwii ngaa ngaaKipindi hiki hili dude limenikuta mkubwa kidogo, nilikuwa napambana na mambo ya masomo bwana. Japo Game nimecheza sana ila siyo hili Brick Game na msauti wake mbayaa.
Mortal Kombat, nimecheza kwenye Sega Genesis na PS (1,2,3).Ile sauti ya bwii bwii bwii ngaa ngaa
Ukiachana na izo lazima utakuwa umecheza mortal kombat na vice city (GTA)
Ilivuma sana MK 4,ila sasa hivi brick game zipo chache sana maana siku izi PC games na PS zipo za kutosha .Mortal Kombat, nimecheza kwenye Sega Genesis na PS (1,2,3).
Consoles na PC zimevuruga kila kitu aisee.Ilivuma sana MK 4,ila sasa hivi brick game zipo chache sana maana siku izi PC games na PS zipo za kutosha .
hahaaView attachment 1061349
View attachment 1061349
Aisee hili dude nakumbuka mdogo wangu wa kike alikuwaga nalo na muda wote alikuwa analicheza muda wote yani. Lilikuwa linanikera na makelele yake, unakuta umelala usiku au unatafuta usingizi unasikia chumba cha pili, byu, byu, pyu. Kuna mhuni akapita nalo akaenda kuuza kwe wenzake huko shuleni, nilifurahi sana.
Hahaha yapo ila sio mengi kama zamani, ukiingia playstore wametengeneza app zake kuna siku nilizijaribu kuchezea - duh! kitambo sanaView attachment 1061349
View attachment 1061349
Aisee hili dude nakumbuka mdogo wangu wa kike alikuwaga nalo na muda wote alikuwa analicheza muda wote yani. Lilikuwa linanikera na makelele yake, unakuta umelala usiku au unatafuta usingizi unasikia chumba cha pili, byu, byu, pyu. Kuna mhuni akapita nalo akaenda kuuza kwe wenzake huko shuleni, nilifurahi sana.
Kuna gemu kama hilo niliona mtu analicheza kwenye simu sijui linaitwajeJuzi kuna madogo wa shule ya msingi niliwaona nalo, wamekaa kwenye kikundi wanalicheza...
Kipindi nikiwa secondary nikiwa hom sina mishe najifungia ndani nalipiga kimya kimya...
Hii picha ya wadogo zangu umeipata wapi?Tuliokulia tunacheza hivi tunakomenti wapi?View attachment 1061362
Linaitwaje
Jamani kumbe weye kaka yanguHii picha ya wadogo zangu umeipata wapi?
Wewe ndo mdogo wake na mtoa mada[emoji848]niligombana sana na kaka angu kuhusu hilo dude
Mamaaaaa... Kumbe tupo wote humu na hatujuani...sema wakati mwingine huwa napost ujinga ujinga mpaka naona aibu sasaJamani kumbe weye kaka yangu
Ndio usipost ujinga sasa ujue dada yako nipo humuMamaaaaa... Kumbe tupo wote humu na hatujuani...sema wakati mwingine huwa napost ujinga ujinga mpaka naona aibu sasa
😂😂😂😂😂 hapana
Brick GameLinaitwaje
Kuna jamaa page za nyuma kasema linapatikana playstore linaitwa Brick GameKuna gemu kama hilo niliona mtu analicheza kwenye simu sijui linaitwaje